Mkapa atunukiwa tuzo ya mafanikio
Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametunukiwa Tuzo ya Mafanikio Katika Utumishi wa Umma kutokana na mchango alioutoa kwenye uchumi wakati wa utawala wake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Dec
DC atunukiwa tuzo ya uongozi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini ya Kikristo na Kiislamu mkoani Mbeya wamemtunuku Tuzo ya uongozi bora Mkuu wa wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla.
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Mtanzania atunukiwa tuzo ya ujasiriamali
11 years ago
Habarileo31 Jul
JK atunukiwa tuzo nyingine ya kimataifa
RAIS Jakaya Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa Tuzo ya Kimataifa, kwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
11 years ago
Habarileo04 Apr
Mama Salma atunukiwa tuzo
MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amepewa cheti na Umoja wa Wake wa Mabalozi wa Afrika waishio katika nchi za Umoja wa Ulaya kwa kutambua na kuthamini mchango wake na kazi, anazozifanya za kusaidia wanawake, wasichana na watoto wa Tanzania.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s72-c/unnamedm.jpg)
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA
![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s1600/unnamedm.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7lHn9qB8DmI/VUPBbFglqJI/AAAAAAAHUfo/2_ysox3j11c/s1600/unnamedmm.jpg)
11 years ago
Habarileo05 Mar
Magigita atunukiwa Tuzo ya Martin Luther
MKURUGENZI Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya Equality for Growth (EfG), Jane Magigita, ametunukiwa na Ubalozi wa Marekani nchini tuzo ya Haki ya Dk Martin Luther King kwa mwaka 2014, kwa kutambua jitihada zake katika kutetea haki za kisheria za wanawake.
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya demokrasia
![Jakaya Kikwete](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Jakaya-Kikwete.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo ya kimataifa ya Nyota wa Demokrasia Afrika 2014.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jana, Rais Kikwete aliandikiwa barua ya kuwa mshindi wa kwanza katika mchuano huo uliohusisha marais watatu wa Afrika ambao waliingia katika tatu bora.
“Katika barua hiyo, Mchapishaji na Mhariri Mkuu wa Jarida hilo, Pastor Elvis Iruh, akizungumza kwa niaba ya Kamati ya Tuzo...
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Rais Kikwete atunukiwa tuzo ya uongozi
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Mkurugenzi wa TAMWA atunukiwa tuzo ya CEFM CHAMPION
Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mh. Alexandre Lévêque akimkabidhi tuzo ya kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania-TAMWA,Bi. Valerie Msoka kwa kufanikisha kampeni dhidi ya ndoa za utotoni.(Picha zote kwa hisani ya mtandao wa hivisasa.co.tz).
Na modewjiblog team
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA) Valerie Msoka, amekuwa mtu wa kwanza kutunukiwa tuzo ya CEFM Champion, na Ubalozi wa Canada nchini.
Katika sherehe fupi iliyofanyika Serena...