Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA TABITHA SIWALE: MWANAMKE SHUPAVU NA WA KWANZA KUWA WAZIRI TANZANIA


By MZEE WA ATIKALI  ✍️✍️✍️


1. Usuli:

Katika miaka ya karibuni, kwenye "social media" kumetamalaki picha na habari za utani dhidi ya Wanyakyusa@ "WANYAKI" zikionesha kwamba Wanyakyusa ni watu ambao hawajaenda shule na ni washamba kupindukia!.

Hata hivyo, ukweli ni kwamba mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro na Bukoba ndiyo iliyokuwa ikitoa wasomi wengi na wa hali ya juu toka enzi za ukoloni na baada ya uhuru.

Haishangazi basi, tarehe 9.11.1975, mkoa wa Mbeya ulitoa mwanamke wa kwanza na kuweka historia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Tanzania yathibitisha kuwa na kisa cha kwanza

Waziri wa afya nchini Tanzania Ummy Mwalimu amesema aliingia nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa KIA.

 

10 years ago

Vijimambo

NICK WA PILI KUWA MSANII WA KWANZA WA BONGO FLAVOUR KUCHUKUA PhD TANZANIA.

Rapper kutoka kundi la Weusi Nick wa pili amesema anatarajia kurudi chuo kuchukua PhD, Mwaka jana Nicki wa pili alifanikiwa kuchukua Master na kuwa kati ya A-list ya wasanii wa Tanzania wenye Kisomo cha kuridhisha lakini mweusi huyu anaonekana kutoridhika bado baada ya kuonesha nia ya kurudi tena chuo ili kuchukua PhD , Rapper wa ngoma ya "sitaki kazi" alipokua akizungumza na kipindi cha XXL cha clouds fm siku ya leo Nick wa pili alifunguka kuwa Tayari ameapply na amepata nafasi chuo kikuu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kasisi wa kwanza mwanamke kuapishwa UK

Kanisa mmoja nchini Uingereza hii leo litamuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa kwanza achaguliwa Saudi Arabia

Raia wa Saudi Arabia wameweka historia kwa kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa mwakilishi wao katika uchaguzi uliofanyika hapo jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamke wa kwanza mweusi kucheza Ballerina

Misty Copeland ni mwanamke wa kwanza mweusi kucheza densi ya Ballerina

 

5 years ago

CCM Blog

MWANAMKE WA KWANZA AJITOKEZA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR


Kada wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mwatum Mussa Sultan akiwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua Fomu leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akionesha mkoba ukiwa na Fomu za Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa akiwaonesha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo leo. Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea Urais wa...

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ.....: MH. KASSIM MAJALIWA APITISHWA KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Waziri Mkuu mpya Mh. Kassim Majaliwa.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya tano baada ya jina lake kupelekwa Bungeni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Majaliwa amepitishwa kwa kura 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote za ndio.

 

10 years ago

GPL

KASISI WA KWANZA MWANAMKE KUAPISHWA NCHINI UINGEREZA LEO

Libby Lane. KANISA la Stockport la nchini Uingereza leo litamwapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Libby Lane mwenye umri wa miaka 48 na ambaye ana watoto wawili atakuwa kasisi wa kwanza wa kanisa hilo la Anglikana. Sherehe hizo zitaongozwa na kasisi Mkuu, John Sentamu eneo la York Minister. Hatua hiyo inayomaliza ukiritimba wa utamaduni wa wanaume kuwa makasisi umeendelea kuzua hisia tofauti miongoni mwa wafuasi wa kanisa hilo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabwe

Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabweambaye akitafuta kulipiza kisasi kutokana na kifo cha mama yake, lakini sasa ameamua kusamehe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani