Kasisi wa kwanza mwanamke kuapishwa UK
Kanisa mmoja nchini Uingereza hii leo litamuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jJvG6Dn7i74iHLuKU3sYFLE*2NHMKZtpmhHHZIRttfZkrybWXtyu1fiCs*9fqlw*nSAM9j10k8X4uVdN1N0bNnL/webwombishopgetty.jpg)
KASISI WA KWANZA MWANAMKE KUAPISHWA NCHINI UINGEREZA LEO
Libby Lane. KANISA la Stockport la nchini Uingereza leo litamwapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Libby Lane mwenye umri wa miaka 48 na ambaye ana watoto wawili atakuwa kasisi wa kwanza wa kanisa hilo la Anglikana. Sherehe hizo zitaongozwa na kasisi Mkuu, John Sentamu eneo la York Minister. Hatua hiyo inayomaliza ukiritimba wa utamaduni wa wanaume kuwa makasisi umeendelea kuzua hisia tofauti miongoni mwa wafuasi wa kanisa hilo...
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Mwanamke wa kwanza mweusi kucheza Ballerina
Misty Copeland ni mwanamke wa kwanza mweusi kucheza densi ya Ballerina
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mwanamke wa kwanza achaguliwa Saudi Arabia
Raia wa Saudi Arabia wameweka historia kwa kumchagua mwanamke wa kwanza kuwa mwakilishi wao katika uchaguzi uliofanyika hapo jana.
5 years ago
CCM BlogMWANAMKE WA KWANZA AJITOKEZA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
Kada wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mwatum Mussa Sultan akiwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua Fomu leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akionesha mkoba ukiwa na Fomu za Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa akiwaonesha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo leo.
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabwe
Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabweambaye akitafuta kulipiza kisasi kutokana na kifo cha mama yake, lakini sasa ameamua kusamehe
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Whmxln6S1Zo/XomRB-yYDYI/AAAAAAALmDA/MnQMXNbzxb0nvdVCQ2nksZMRqszMXMy6ACLcBGAsYHQ/s72-c/32944855-519c-4acd-a77d-b9b2637b6bb0.jpg)
MAMA TABITHA SIWALE: MWANAMKE SHUPAVU NA WA KWANZA KUWA WAZIRI TANZANIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Whmxln6S1Zo/XomRB-yYDYI/AAAAAAALmDA/MnQMXNbzxb0nvdVCQ2nksZMRqszMXMy6ACLcBGAsYHQ/s400/32944855-519c-4acd-a77d-b9b2637b6bb0.jpg)
By MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. Usuli:
Katika miaka ya karibuni, kwenye "social media" kumetamalaki picha na habari za utani dhidi ya Wanyakyusa@ "WANYAKI" zikionesha kwamba Wanyakyusa ni watu ambao hawajaenda shule na ni washamba kupindukia!.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro na Bukoba ndiyo iliyokuwa ikitoa wasomi wengi na wa hali ya juu toka enzi za ukoloni na baada ya uhuru.
Haishangazi basi, tarehe 9.11.1975, mkoa wa Mbeya ulitoa mwanamke wa kwanza na kuweka historia...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-VeYOb5aICds/VXCsI3kxO-I/AAAAAAADp_w/OqAhrWSSZx4/s72-c/1406433.jpg)
KADRA MOHAMED: MWANAMKE WA KWANZA POLISI KUVAA HIJABU AKIWA KAZINI MINNESOTA, MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-VeYOb5aICds/VXCsI3kxO-I/AAAAAAADp_w/OqAhrWSSZx4/s640/1406433.jpg)
Umewahi kusikia habari za Kadra Mohamed? kama bado ni lazima usikie.
Yeye ni mwanamke wa kwanza wa Somalia kuwa Afisa wa Polisi katika mji wa Minnesota nchini Marekani kuvaa hijabu akiwa kazini.Kadra mwenye umri wa miaka 22 ameandika historia katika dunia.Kadra amemaliza masomo ya mafunzo ya Upolisi mwezi Mei mwaka huu katika chuo cha St Paul Police Academy.Alijiunga na St Paul mwezi Machi mwaka jana katika ulinzi shirikishi baada ya idara hiyo ya Polisi kupitisha sheria ya kuruhusu wanawake...
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Kasisi afariki kutokana na Ebola
Kasisi mmoja Muhispania aliyeambukizwa Ebola, Magharibi mwa Afrika , amefariki kutokana na homa hiyo hospitalini mjini Madrid.
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Kasisi akiri kulawiti watoto UK
Kasisi mwenye umri wa miaka 85 nchini Uingereza amekiri kosa la kulawiti watoto wengi wavulana na kuwaharibu wengine wengi wasichana
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania