Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KASISI WA KWANZA MWANAMKE KUAPISHWA NCHINI UINGEREZA LEO

Libby Lane. KANISA la Stockport la nchini Uingereza leo litamwapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Libby Lane mwenye umri wa miaka 48 na ambaye ana watoto wawili atakuwa kasisi wa kwanza wa kanisa hilo la Anglikana. Sherehe hizo zitaongozwa na kasisi Mkuu, John Sentamu eneo la York Minister. Hatua hiyo inayomaliza ukiritimba wa utamaduni wa wanaume kuwa makasisi umeendelea kuzua hisia tofauti miongoni mwa wafuasi wa kanisa hilo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kasisi wa kwanza mwanamke kuapishwa UK

Kanisa mmoja nchini Uingereza hii leo litamuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabwe

Monalisa Sibanda ni mwanandondi wa kulipwa wa kwanza mwanamke nchini Zimbabweambaye akitafuta kulipiza kisasi kutokana na kifo cha mama yake, lakini sasa ameamua kusamehe

 

9 years ago

Dewji Blog

Maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli kufanyika leo nchini Uingereza!!

5756a1ac-4bb3-4135-b626-84003aa2fca3

Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Msafiri Marwa anatarajiwa kuwa mgeni rsmi katika maombi maalum ya kumuombea Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli maombi yanayotarajiwa kufanyika leo nchini Uingereza. Maombi hayo yataendeshwa na Bishop Francis Sarpong, Pastor Mkuu wa Swahili Bob Baraka na wengineo.

 

11 years ago

GPL

PICHA YA KWANZA: MAZISHI YA TYSON NCHINI KENYA LEO

Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ ukizikwa leo kijijini kwao Kisumu Kenya. Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Kisumu nchini Kenya. ...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Octoba 12,2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo. Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.  Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.Msalaba Sehemu ya waombolezaji. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Naibu Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Penny Smith (katikati) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingerzea nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo. Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) akimfafanulia ...

 

10 years ago

Michuzi

mtuhumiwa wa mauaji nchini uingereza apandishwa kizimbani mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam leo


Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu, Sammy al Mahri, aishiye Uingereza akiwa chini ya ulinzi wa polisi, wakati akipelekwa kizimbani katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam,leo, kusomewa mashitaka ya kumuua mpenzi wake nchini Uingereza. Mahri anadaiwa kukimbilia Tanzania baada ya kufanya mauaji hayo. Picha na Khamis Mussa

 

9 years ago

Michuzi

Daktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo

Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani