Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama yangu hakuwa amesoma lakini alihakikisha naingia sekondari: Hajjat Amina Mrisho Saidi

Hajjat Amina Mrisho Saidi,  Kamishna wa Sensa Tanzania mwaka 2012
Kuwapatia wanawake fursa katika nyanja zote ni muhimu kwa maendeleo ya kaya zao na hata taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imejidhihirisha kwa Hajjat Amina Mrisho Saidi, Kamishna wa Sensa Tanzania mwaka 2012 ambaye baada ya kumaliza elimu ya msingi alijikita katika kuchunga mbuzi huko kwao mkoani Arusha akidhani ndoto ya elimu ya sekondari imetwama! 
Hata hivyo jitihada za mama yake mzazi na zake yeye binafsi pamoja na serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Saidi Idd: Nimechomwa mkuki na mama yangu mzazi

Mtaa wa Mwatulole, wilayani Geita mkoani Geita, ndiko anakopatikana mtoto Saidi Idd , (so jina lake halisi), mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Mwatulole mwenye umri wa miaka saba.

 

9 years ago

Bongo5

Mrisho Mpoto amliza Vanessa Mdee…lakini si kwa ubaya!

mpoto n vee

Sio kila siku unaweza kuamka na furaha na kila kitu kikawa sawa. Kuna nyakati ambazo mtu unaweza kujikuta hauko vizuri kutokana na baadhi ya mambo yako kukwama.

mpoto n vee

Katika hali kama hii binadamu huhitaji kitu kidogo tu kama maneno ya kutia moyo kutoka kwa mtu unayemuheshimu, ambayo yanaweza kuirudisha furaha iliyokuwa imepotea kwa muda.

Ujumbe wa pongezi kwa muimbaji wa ‘Never Ever’ Vanessa Mdee umegeuka kuwa faraja kwa Vee Money ambaye kwa mujibu wa post yake ya Instagram siku ya leo Dec 8...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MAMA YAKE MZAZI SAIDI MDOE, BI DESTA MOHAMMED YALIVYOFANYIKA LEO

Mama mzazi wa mdau Said Mdoe, Bi Desta Mohammed aliyefariki jana saa moja jioni, amezikwa jioni ya leo, hapa mwili wake ukiombewa kabla ya kupelekwa makaburini kwa mazishi. Waombolezaji wakielekea makaburini eneo la Masina Mbezi Beach, jijini Dar.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale

Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.


Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.


“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...

 

10 years ago

GPL

MAMA YANGU NI MCHAWI: ADEBAYOR

Straika wa Tottenham, Emmanuel Adebayor akiwa na mama yake. STRAIKA wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake. Emmanuel Adebayor. Taarifa zinaeleza kuwa, mama huyo tayari ameondoka katika nyumba ya familia huku dadaake Adebayor aitwaye Maggie akiiambia radio moja ya mjini Accra kwamba Adebayor ndiye… ...

 

11 years ago

GPL

NISHA: NIACHENI NA MAMA YANGU

Stori: Emelder Tarimo Vunja ukimya! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amevunja ukimya kwa kusema kuwa kwa sasa hana shosti zaidi ya mama yake mzazi. Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akifurukuta mbele ya Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita jijini Dar, Nisha alifunguka kwamba mama yake ndiye kila kitu kwani muda mwingi humshauri mambo mazuri na ya kimaendeleo zaidi tofauti na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lembeli: CCM si mama yangu

JUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, James Lembeli (CCM), amesema kuwa yuko tayari kufanyiwa lolote na chama chake lakini kamwe hatatengua msimamo wake wa kudai Serikali ya Tanganyika. Kauli hiyo...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND SIYO KOSA KUISHI NA MAMA LAKINI KUNA UMUHIMU WA KUJITENGA NAYE?!?

.KWAKO mkali wao katika anga la Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Mambo vipi mzazi jembe? Hongera sana kwa ushindi mnono ulioupata hivi karibuni katika Tuzo za MTV EMA 2015 jijini Milan Italy, umezidi kuliletea taifa letu heshima. Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima. Namshukuru Mungu naendelea kupambana na kazi zangu kama kawaida ili mkono uende kinywani.Nimekukumbuka leo kwa barua kwani kuna jambo nataka nikushauri....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani