MAMBA WALA WATU WAUAWA SENGEREMA
Mzoga wa mamba mmoja ukiwa umezungukwa na wanakijiji wa Kome-Mchangani. Mzoga wa mamba mwingine. Mzee aliyewatega mamba hao (aliyeketi) akiwa nyuma ya mzoga wa mamba mmojawapo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo22 Jan
HAWA NDO MAMBA WALA WATU WAUAWA SENGEREMA
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Mamba mla watu auawa Morogoro
10 years ago
VijimamboNYALANDU AKAGUA MADHARA YA MAMBA MLA WATU MASASI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza diwani wa Nhavila, wilayani Masasi, Meja Ramadhan Chilumba, jana, katika sehemu ya mto, wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.
Katibu Tawala wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo...
10 years ago
MichuziWaziri NYALANDU AKAGUA MADHARA YA MAMBA MLA WATU MASASI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza diwani wa Nhavila, wilayani Masasi, Meja Ramadhan Chilumba, jana, katika sehemu ya mto, wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na
mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.
Katibu Tawala wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ
Habari tulozipata si muda mrefu kwamba Wamasai wamepewa kichapo na watu wasiojulikana Kundi la Wamasai 8 walikuwa katika ghasia hizo ambapo walikuwa wakishambuliwa ba kundi la Ubayaubaya. Ugomvi ulianzia mitaa ya Darajabovu ambapo Wamasahai hao walikabiliana […]
The post Wamasai wala mkong’oto na watu wasiojulikana ZNZ appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
10 years ago
BBCSwahili03 Nov
Watu 50 wauawa Pakistan
11 years ago
GPLWATU 28 WAUAWA CHINA