Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYALANDU AKAGUA MADHARA YA MAMBA MLA WATU MASASI


 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza diwani wa Nhavila, wilayani Masasi, Meja Ramadhan Chilumba, jana, katika sehemu ya mto, wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.
 Katibu Tawala wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri NYALANDU AKAGUA MADHARA YA MAMBA MLA WATU MASASI



 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akimsikiliza diwani wa Nhavila, wilayani Masasi, Meja Ramadhan Chilumba, jana, katika sehemu ya mto, wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha Manyuli ambako alitembelea watu waliojeruhiwa na wengine kuuawa na
mamba, alipokwenda kutoa kifuta machozi kutoka wizarani kwake.

 Katibu Tawala wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mamba mla watu auawa Morogoro

 Mkazi wa Kijiji cha Bwakila Chini, Kata ya Bwakila Chini, Maloda Sitini amefariki dunia baada ya kuliwa na mamba tukio lililotokea katikati ya mwezi uliopita katika Mto Mgeta, Wilaya ya Morogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Shule yafungwa kwa hofu ya simba mla watu

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.SHULE ya Msingi Saadani Chumvi iliyopo Kata ya Mkange wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, imefungwa baada ya wazazi kuwa na hofu baada ya watu wawili na mbuzi 70 kuliwa na Simba kutoka kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadani.

 

10 years ago

GPL

MAMBA WALA WATU WAUAWA SENGEREMA

Mzoga wa mamba mmoja ukiwa umezungukwa na wanakijiji wa Kome-Mchangani. Mzoga wa mamba mwingine. Mzee aliyewatega mamba hao (aliyeketi) akiwa nyuma ya mzoga wa mamba mmojawapo.…

 

10 years ago

Vijimambo

HAWA NDO MAMBA WALA WATU WAUAWA SENGEREMA

Mzoga wa mamba mmoja ukiwa umezungukwa na wanakijiji wa Kome-Mchangani.Mzoga wa mamba mwingine. Mzee aliyewatega mamba hao (aliyeketi) akiwa nyuma ya mzoga wa mamba mmojawapo. Mwanakijiji akiweka pozi juu ya mzoga wa mamba kuonesha furaha yake.WANAKIJIJI wa Kome-Mchangani wilayani Sengerema mkoani Mwanza, wamewaua mamba wawili wanaodaiwa kuua watu wawili na kuwajeruhi watu watatu.Mamba hao waliokuwa katika kingo za Ziwa Victoria kijijini hapo, walitajwa kuwa kero kubwa kiasi cha kusababisha...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AKAGUA MENO YA TEMBO YALIYOKAMATWA NA ASKARI WANYAMAPORI WILAYANI NAMTUMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua meno ya tembo yaliyokamtwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Lazaro Nyalandu na Ofisa Wanyamapori akikagua ngozi za wanyamapori zilizokamatwa na askari wa wanyamapori toka kwa majangili Likuyu Sekamaganga Namtumbo mkoani Ruvuma mwishoni mwa wiki iliyopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Watu wenye silaha wajeruhi, wapora malori Masasi

Watu kadhaa wamejeruhiwa, mmoja yuko mahututi na amelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Ndanda wilayani Masasi baada ya watu wenye silaha kuteka malori matano toka katika kijiji cha Nangoo kilichopo barabara kuu ya Mtwara- Masasi.

 

10 years ago

GPL

KRISMAS NA MLA CHA MWENZIE

Naam wapendwa wa kona yetu ya michano, ningekuwa kwenye gemu la muziki ningejiita mama wa michano yaani muziki wa wagumu, usioogopa mtu yoyote atakayejipendekeza inampa kubwa. Najua kesho ni sikukuu kila mtu amejiandaa kufanya kamamuzi ya kufa mtu au sio jamani? Utakuta kuna mtu ana ofa zaidi ya kumi na kujiuliza aende ipi na aiache ipi, wapo ambao sikukuu itawaishia vibaya na kujuta kugida vitu vya watu maana vitawatokea puani....

 

10 years ago

Habarileo

CCM ikisimamisha mla rushwa, itapoteza dola, asema Wassira

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kosa kumsimamisha mgombea mla rushwa, kitapoteza dola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani