Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO 15 YATAKAYOTULETEA VURUGU UCHAGUZI MKUU YASIPODHIBITIWA

Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwa Ikulu katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa siasa nchini.
Eric Shigongo TUANZE makala haya kwa kumsifu Mungu aliye hai kwa kutupa uzima siku ya leo, hakika hakuna Mungu kama yeye. Baada ya kusema hayo niseme kwamba mataifa mengi ya Kiafrika yamekuwa yakiingia katika vurugu na machafuko makubwa unapofika uchaguzi mkuu kwani wakati huo vyama vya upinzani huwa vinaomba ridhaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAMBO 15 YATAKAYOTULETEA VURUGU UCHAGUZI MKUU YASIPODHIBITIWA

Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete akiwa Ikulu katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa siasa nchini.
Eric Shigongo

TUANZE makala haya kwa kumsifu Mungu aliye hai kwa kutupa uzima siku ya leo, hakika hakuna Mungu kama yeye.

Baada ya kusema hayo niseme kwamba mataifa mengi ya Kiafrika yamekuwa yakiingia katika vurugu na machafuko makubwa unapofika uchaguzi mkuu kwani wakati huo vyama vya upinzani huwa vinaomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kushika dola, huku chama tawala kikiomba...

 

10 years ago

GPL

TWAWEZA WAONYA VURUGU UCHAGUZI MKUU!

Meneja wa Sauti za Wananchi wa Twaweza, Elvis Mushi (kulia) akitoa ufafanuzi katika mkutano huo. Kushoto ni Afisa Masoko wa Twaweza, Costantine Magavilla. Viongozi mbalimbali wa taasisi na wanahabari wakifuatilia semina hiyo. Viongozi wengine…

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WA NCHI MWANACHAMA WA MAZIWA MKUU KUSHUHUDIA MAMBO YA UCHAGUZI MKUU HAPA NCHINI

Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi Muita,MBS  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Oktoba 25 mwaka huu pamoja na ushiriki wa vijana katika uchaguzi huo. Mwenyekiti wa wa kamati ya uchaguzi wa  vijana wa nchi za maziwa makuu ,Adv.Kabyemela Lushagara akitoa maada katika mkutano wa vijana wa nchi mwanachama wa maziwa makuu pamoja na kuzungumza na baadhi ya vijana wa nchi za...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo 20 yanayoweza kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Arusha. Mataifa mengi na hasa ya Kiafrika yamekuwa yakiingia katika vurugu na machafuko makubwa unapofika uchaguzi.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA

Mkuu wa mkoa wa iringa DK CHRISTIN ISHENGOMA amewataka wananchi mkoani  Iringa,kutokuwa na hofu katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi wa jimbo la kalenga.
Akizungumza leo  kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...

 

10 years ago

GPL

KURA YA MAONI, UCHAGUZI MKUU NI MAMBO YANAYOJADILIKA, YASITUFARAKANISHE

Rais Jakaya Kikwete. Eric Shigongo
Nianze kwa kumtukuza Mungu muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, hakuna wa kumuabudu ila yeye tu.Nianze makala yangu kwa kusema kuwa bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji kura ya maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30, mwaka huu kama alivyowahi kutangaza Rais Jakaya Kikwete. Wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NA KUWAPONGEZA KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU KWA AMANI NA UTULIVU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Polisi, wakati wa mkutano wa Kujitambulisha na kufahamiana na Watendaji wakuu na Maafisa wa Jeshi la Polisi uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mngodo alilipongeza jeshi hilo kwa kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Kulia kwa Katibu Mkuu ni Inspekta Jenerali wa Jeshi hilo (IGP), Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Jeshi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo sita muhimu kuelekea Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu

Hofu ya kukataliwa kwa Katiba Mpya kumeifanya Serikali ivunje makubaliano ya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kwamba Kura ya Maoni isitishwe hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI:UCHAGUZI MKUU UTAKUWA HURU NA HAKI KWA VYAMA VYOTE, WANAOPANGA KULETA VURUGU SERIKALI IKO MACHO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TVRAIS Dkt. John Magufuli amesema kuwa Uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika Oktoba mwaka huu utakuwa huru na haki kwa vyama vyote huku akitahadharisha wale wote watakaoleta vurugu na kauli za matusi watambue Serikali ipo macho na haitovumilia.
Akizungumza leo Juni 16,2020 jijini Dodoma wakati akifunga Bunge la 11, Rais Magufuli amesema kuwa uchaguzi huo utakua wa huru na haki kwa kuwa ndio Demokrasia huku akivitaka vyama kutoa nafasi za kugombea kwa wanawake,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani