Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO AMBAYO HUKUYAJUA KUHUSU STAA WA NOLLYWOOD ALIYEFARIKI, MUNA OBIEKWE

KIFO cha staa wa Nollwood, Muna Obiekwe kimezua gumzo kwa watu wengi nchini Nigeria na wengine ambao wanafuatilia tasnia ya filamu nchini Nigeria, sasa kuna mambo kadhaa ambayo yawezekana ulikuwa huyajui kuhusu staa huyo aliyefariki kutokana na matatizo ya figo. Staa wa Nollwood, Muna Obiekwe enzi za uhai wake. Alikuwa muoga wa waandishi wa habari
Muna hakuwa tayari kujitokeza hadharani kuomba kuchangishiwa fedha kwa kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

COVER: Nollywood mourns for Muna Obiekwe

>The passing of Nollywood actor Muna Obiekwe on Sunday came as a great shock both to Nigerians and the actor’s colleagues. The actor is said to have died of kidney failure in an undisclosed hospital in Lagos. According to a source close to the actor, Muna had been battling a renal related ailment but had kept it secret for a long time before informing the president of the Actors Guild of Nigeria, Ibinabo Fiberesima , who has since been in touch with him.

 

10 years ago

Bongo5

Van Vicker, Genevieve, Rita Dominic waomboleza kifo cha muigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe

Waigizaji wa Nollywood na mastaa wengine wa Nigeria wametumia mitandao ya kijamii kuelezea kuhuzunishwa kwao na kifo cha ghafla cha muigizaji maarufu wa Nigeria, Muna Obiekwe. Marehemu Muna Obiekwe Staa huyo alifariki Jumapili, January 18, 2015 kutokana na kushindwa kufanya kazi kwa figo zake. Miongoni mwa waliotuma salamu zao za rambi rambi ni pamoja na […]

 

10 years ago

GPL

MWIGIZAJI MUNA OBIEKWE WA NIGERIA AFARIKI DUNIA

Mwigizaji Muna Obiekwe enzi za uhai wake. HABARI kutoka Nigeria zimesema mwigizaji maarufu wa kiume wa sinema nchini humo, Muna Obiekwe, amefariki jana katika hospitali ya Festac, jijini Lagos, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo. Vyanzo vilivyokuwa karibu na mwigizaji huyo, vinasema Muna alikuwa akipambana na matatizo ya figo ambayo alikuwa ameyafanya siri kwa muda mrefu kabla ya kumwambia rais wa chama cha waigizaji cha...

 

10 years ago

GPL

MAZIKO YA MUNA OBIEKWE KUFANYIKA FEBRUARI 3, 2015

Mwigizaji Muna Obiekwe enzi za uhai wake. RAIS wa chama cha waigizaji cha Nigeria (AGN), Ibinabo Fiberesima ametangaza ratiba kamili ya mazishi ya mwigizaji wa Nollywood, Muna Obiekwe. Muna alifariki dunia Januari 18, 2015 baada ya kusumbuliwa na matatizo ya figo ambayo alikuwa ameyafanya siri kwa muda mrefu. Ibinabo Fiberesima amesema maziko ya Muna yatafanyika Februari 3, mwaka huu katika eneo la Umudioka, Jimbo la Anambra...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mambo ambayo bado hayajafahamika kuhusu Covid-19

Kuna maswali mengi ambayo bado hayajajibiwa kuhusu coronavirus, Covid-19.

 

9 years ago

Mwananchi

Mambo 10 ambayo mwanamke hapaswi kumficha daktari

Kwa kawaida, mgonjwa anatakiwa kumwambia daktari ukweli kuhusu matatizo yake yote ya kiafya ili aweze kusaidiwa kupata tiba sahihi. Daktari naye kwa upande wake, hana budi kuwa mkweli kwa mgonjwa, japokuwa kuna wakati madaktari hujikuta katika wakati mgumu kuwaambia wagonjwa wao mambo ambayo wanahisi kuwa yatawasababishia hofu, kihoro, huzuni, kukata tamaa na kupoteza matumaini.

 

9 years ago

Bongo5

Haya ni mambo ambayo watu waliofanikiwa hawawezi kukuambia kazini

Huwezi kujenga mtandao imara wa kitaaluma kama hauko wazi kwa wanataaluma wenzako lakini unatakiwa kufanya hivyo kwa umakini mkubwa. Katika suala la kuwa muwazi inabidi kukumbuka kuwa vitu vingine ukiwa muwazi vinaleta madhara kwenye taaluma yako na kazi yako pia; Unapoongelea maisha yako kwa ujumla inakubidi uwake sanaa ya kimaongezi. Kama kuna kitu ambacho unajua […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani