Mamia waathiriwa na pombe Kenya
Mamia ya Wakenya wameathirika na pombe na serikali imeanzisha mpango wa kuwarekebisha katika uwanja mmoja wa michezo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mamia wakosa usafiri Kenya.Kunani?
Mamia ya watu wamelazimika kutembea kwa miguu kuelekea kazini huku magari mengi ya uchukuzi wa umma yakizuiwa kuingia barabarani kutokana na kukosa vidhibiti mwendo.
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Kampuni za pombe zalalamika Kenya
Kampuni zinazotengeza pombe nchini Kenya zimelalamikia kupata hasara ya mamilioni ya dola huku kampeni ya kufunga kampuni zinazotengeza pombe haramu ikikamilika.
11 years ago
BBCSwahili06 May
Pombe haramu yawaua zaidi ya 50 Kenya
Watu zaidi ya hamsini wamefriki baada ya kunywa pombe haramu katika maeneo mbali mbali nchini Kenya
11 years ago
BBCSwahili07 May
Pombe yenye sumu yawaua 76 Kenya
Watu wawili wamekamatwa nchini Kenya kuhusiana na mkasa wa watu zaidi ya 70 kufariki kutokana na kunywa pombe iliyokuwa imetiwa sumu.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Wanawake waathiriwa na mihadarati TZ
Imeelezwa kuwa utumiaji wa dawa hizo miongoni mwa wanawake ni changamoto kubwa katika jamii,visiwani Zanzibar
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
Waathiriwa wa vita CAR
Vita vya kidini vya zaidi ya mwaka mmoja CAR vimesababisha hali ya kusikitisha kwa wananchi
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Waathiriwa wa Osama kufidiwa Tanzania
Watanzania walioathirika na mlipuko wa mabomu katika ubalozi wa Marekani mjini Dar es Salaam wameshinda kesi yao na sasa watalipwa fidia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania