MAMIA WAMSINDIKIZA MBOWE POLISI
![](http://api.ning.com/files/d9P270TQqaq9EF7g1sF6bujp7TnUEE1scSnCX1tMmncXI0c0cxncoRWBpzZl9iF0vc3CwDavzHDrXKpY4Z5Fhrnzv8OTnIOw/breakingnews.gif)
MAMIA ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), asubuhi hii wamejitokeza kumsindikiza Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe kuelekea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi yaliyopo Posta jijini Dar es Salaam. Mbowe amefika makao makuu hayo kwa ajili ya kuhojiwa kuhusu kauli yake aliyoitoa Jumapili iliyopita ya kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba. Katika tukio hilo,...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4IDu2m4YgB0/XoSfJDSbvyI/AAAAAAALly0/5OFvIxYdTsQ6b5zmVrkY-wSk9ffdh8A6ACLcBGAsYHQ/s72-c/4AA-1-768x512.jpg)
ALAZARO SOKIONE AZIKWA, MAMIA WAMSINDIKIZA
![](https://1.bp.blogspot.com/-4IDu2m4YgB0/XoSfJDSbvyI/AAAAAAALly0/5OFvIxYdTsQ6b5zmVrkY-wSk9ffdh8A6ACLcBGAsYHQ/s640/4AA-1-768x512.jpg)
Wakuu wa Mikoa ya Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka, Morogogo – Mhe. Loata Sanare, Tanga – Mhe. Martine Shigela na Arusha Mhe. Mrisho Gambo wakiweka shada la maua katika kaburi la Alazaro Sokoine, Monduli Mkoani Arusha
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/1AA-1024x682.jpg)
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo ameongoza watumishi wa Ofisi yake katika mazishi ya Alazaro...
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Mbowe aongoza mamia kumzika Mtoi
NA OSCAR ASSENGA, LUSHOTO
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), jana ameongoza mamia ya wananchi wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga, wakati wa mazishi ya aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, marehemu Mohomed Mtoi.
Katika mazishi hayo, Mbowe aliiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ihairishe uchaguzi wa jimbo la Lushoto ili waweze kuanza mchakato wa kutafuta mgombea mwingine wa kuziba nafasi iliyoachwa na marehemu Mtoi ambaye alifariki kwa ajali ya gari juzi.
Alisema uchaguzi wa...
11 years ago
Michuzi03 Feb
Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha
![](https://2.bp.blogspot.com/-UgXJcsGVZ1Q/Uu-5Cpc7jKI/AAAAAAACoOo/LKT-bkV7Oro/s1600/Mbowe+kuhutubia+Kibaha.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-MnyOd2laooo/Uu-5CPTSPdI/AAAAAAACoOg/bII30qq6ma0/s1600/Kukabidhi+kadi+2.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mbowe kutinga polisi na mawakili
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Mbowe atikisa Bunge na Polisi
10 years ago
Habarileo16 Sep
Polisi, wabunge wamshutumu Mbowe
KAULI ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ya kuagiza yafanyike maandamano na migomo nchi nzima bila kikomo, ikiwezekana hata bila ya kibali cha Polisi, imelichefua Jeshi la Polisi. Jeshi hilo limeonya kuwa halitasita kumchukulia hatua kali, kwa kuwa anavuka mipaka ya kisiasa na kugeukia makosa ya jinai.
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Mbowe alishukia Jeshi la Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amelishutumu Jeshi la Polisi nchini kuwa la wauaji, kwa lengo la kutisha wapinzani na kuwatengenezea mazingira ya kuendelea watawala walioko...
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama