Mbowe atikisa Bunge na Polisi
Tamko la Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe la kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza kusitishwa kwa Bunge la Katiba imesababisha Jeshi la Polisi kumwita ili kutoa ufafanuzi wa kauli yake huku Bunge hilo likichepusha mjadala na kutumia muda mrefu kujadili hotuba hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Zitto atikisa Bunge
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Tundu Lissu atikisa Bunge
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mbowe kutinga polisi na mawakili
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Mbowe alishukia Jeshi la Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amelishutumu Jeshi la Polisi nchini kuwa la wauaji, kwa lengo la kutisha wapinzani na kuwatengenezea mazingira ya kuendelea watawala walioko...
10 years ago
Habarileo16 Sep
Polisi, wabunge wamshutumu Mbowe
KAULI ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ya kuagiza yafanyike maandamano na migomo nchi nzima bila kikomo, ikiwezekana hata bila ya kibali cha Polisi, imelichefua Jeshi la Polisi. Jeshi hilo limeonya kuwa halitasita kumchukulia hatua kali, kwa kuwa anavuka mipaka ya kisiasa na kugeukia makosa ya jinai.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/d9P270TQqaq9EF7g1sF6bujp7TnUEE1scSnCX1tMmncXI0c0cxncoRWBpzZl9iF0vc3CwDavzHDrXKpY4Z5Fhrnzv8OTnIOw/breakingnews.gif)
MAMIA WAMSINDIKIZA MBOWE POLISI
10 years ago
Mwananchi19 Sep
Mbowe ajisalimisha polisi, Shughuli zasimama
10 years ago
Habarileo19 Sep
Mbowe abanwa Polisi kwa saa 4
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, jana alitii amri ya kuripoti Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, alikohojiwa kwa saa 4 na dakika 18, huku akiongozana na jopo la mawakili sita.