Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji, Fella washinda Mbagala

Wadau wawili wa michezo na burudani nchini; Yusuf Manji na Said Fella wameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha udiwani katika jimbo jipya la Mbagala jijini hapa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Manji akatwa, Fella apeta

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameenguliwa kuwania kugombea nafasi ya udiwani kata ya Mbagala Kuu huku msimamizi wa kazi za wasanii Saidi Fella akipitishwa.

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

MKUBWA FELLA ATOA MSAADA KATIKA HOSPITALI YA MBAGALA ZAKHEM JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa taasisi ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella 'Mkubwa Fella' akiwa na baadhi ya mtoto katika hospitali hiyo.
Mkurugenzi wa taasisi ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella 'Mkubwa Fella' akikabidhi msaada katika hospitali ya Mbagala Zakhem Jijini Dar es Salaam ikipokelewa na Dk. Silas Adam.
Mwandishi Wetu
TAASISI ya Mkubwa na Wanawe inayomilikiwa na Mkurugenzi wake Said Fella 'Mkubwa Fella' jana ilitembelea Wodi ya Wanawake na Watoto katika Hospital ya Mbagala Zakhem Jijini Dar es...

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE



 Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo.

 Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni.…
...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea udiwani kata ya Mbagala Kuu (CCM) Yusuf Manji azindua kampeni zake Dar

 Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo.  Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam jana jioni.   Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia, akihutubia katika uzinduzi huo.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU (CCM) YUSUF MANJI AZINDUA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM LEO

 Kiongozi wa Kamati ya Ushindi kwa CCM kutoka Kigoma, Nicholaus Zacharia (kulia), akimtambulisha Yusuf Manji katika uzinduzi huo. Mgombea nafasi ya udiwani Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Manji (kushoto), akihutubia wananchi na makada wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika eneo la Kichemuchemu Kaskazini Dar es Salaam leo jioni. Chipukizi wakifanya vitu vyao. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi huo.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Mtanzania

Kampeni za Fella burudani zatawala

felaWAKALI wa muziki wa Bongo Fleva, juzi walifunga kampeni za mgombea udiwani wa Kata ya Kilungule, Mbagala, jijini Dar es Salaam, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Said Fella kwa kupagawisha wakazi wa eneo hilo kwa onyesho la aina yake.

Shamra shamra za wakazi wa eneo hilo zilianza baada ya kusikika uwepo wa wasanii maarufu na wenye majina
makubwa nchini akiwemo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Nurdin Bilal ‘Shetah’, Hamis Mwinjuma ‘Fa’, kundi la Yamoto na wengine wengi.

Baadhi ya wasanii...

 

9 years ago

Michuzi

WASANII WAMUUNGA MKONO SAID FELLA

 Mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Kilungule Said Fella (kushoto) akiteta jambo  na mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbagala Issa Mangungu, wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani ambazo zimezinduliwa jana.Msanii Richard  Maviko, (katikati) akiwa na wasanii wenzake  wakitoa salamu maalum ya kumuunga mkono mgombea wa udiwani katika Kata ya Kilungule Said Fella, ambaye  amezindua rasmi kampeni katika kata hiyo.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Lameck Ditto akiongea kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani