Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maofisa 16 wa FIFA kufikishwa kizimbani

CallejasZURICH, USWISI

MAOFISA 16 wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), wanatarajia kufikishwa kizimbani kutokana na kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi wa kina ambao unafanywa na waendesha mashtaka wa nchini Marekani.

Wanaotarajiwa kufikishwa kizimbani ni pamoja na maofisa wa ngazi ya juu wa Kamati ya uongozi ambao wapo madarakani kwa sasa na wale waliostaafu, akiwemo Rais wa Chama cha Soka cha Honduras, Rafael Callejas.

Mwanasheria Mkuu nchini Marekani, Loretta Lynch, amesema katika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Waliopora kufikishwa kizimbani Malawi

Kesi ya maafisa wa zamani wa serikali wanaodaiwa kuhusika katika wizi wa mamilioni ya dola inatarajiwa kuanza Jumatano.

 

5 years ago

Michuzi

MAOFISA WANNE WA NEMC KIZIMBANI WAKIKABILIWA NA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

Maofisa wanne wa Baraza la usimamizi wa Mazungira (NEMC) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu  jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Na Karama Kenyunko Michuzi TVMAOFISA wanne wa Baraza la usimamizi wa Mazungira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka tisa yakiwemo ya kughushi, kula njama, utakatishaji fedha na kuisababishia Mamlaka hasara ya Sh. Milioni 18.5..
Katika hati ya mashtaka...

 

10 years ago

Africanjam.Com

SEPP BLATTER NA MAOFISA SABA WA FIFA MATATANI

Ikiwa ni saa chache baada ya Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatterkutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo kuna habari  nyingine zinamuhusu Rais huyo.
Rais huyo ambaye alipewa madaraka ya kuongoza Shirikisho hilo siku chache zilizopita ikiwa ni awamu ya tano, kingine kilichochukua Headlines kwa sasa ni ishu ya Sepp Blatter kufanyiwa uchunguzi na maafisa wa Marekani ili kujua kama anahusika na tuhuma za rushwa ambazo zinawahusu maafisa wengine saba wa FIFA.Hata...

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa 16 wa FIFA kizimbani kwa ufisadi

Waendesha mashtaka nchini Marekani wametangaza mashtaka mapya dhidi ya maafisa wapatao kumi na sita wa shirikisho la kandanda duniani FIFA kwa kuhusika na tuhuma za rushwa baada ya uchunguzi ndani ya shirikisho hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) kizimbani kwa mashitaka 14 ya kufoji vyeti vya kidato cha nne

Habari na Mwene Said wa Globu ya Jamii  Maofisa wanane wa Benki Kuu Tanzania (BOT) wamekutwa na kesi ya kujibu na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salam, dhidi ya mashitaka 14 ya kughushi na kuwasilisha vyeti vya kidato cha nne vilivyoghushiwa.  Uamuzi huo ulitolewa na Hakimu Mkazi Nyigulila Mwaseba baada ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wao, dhidi ya washtakiwa Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahengena Beatha Masawe, Jacquiline Juma, Philimina...

 

9 years ago

Raia Mwema

Njia ya kufikishwa ICC ni fupi

MABADILIKO hayaepukiki.

Mwandishi Wetu

 

5 years ago

CCM Blog

RAIA WA CHINA KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Jeshi la polisi Mkoa wa Katavi linatarajia kumfikisha mahakamani raia mmoja wa China Lin Guosong (34) mfanyabiashara wa Majengo Sumbawanga akituhumiwa kukiuka amri halali iliyowekwa na Serikali  ya  kunawa mikono kujikinga na corona.

Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu leo Aprili 11,2020 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Benjamini Kuzaga amesema mtuhumiwa amekiuka utaratibu huo Aprili 5, 2020 katika kizuizi cha Ntibili Majimoto.

"Mtuhumiwa alikuwa anaendesha gari lenye namba za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini kufikishwa ICC?

Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu limesema Korea Kaskazini inastahili kufikishwa icc.

 

10 years ago

Mtanzania

Makonda sasa kufikishwa mahakamani

makondaNA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita, ametangaza kumfikisha mahakamani Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, baada ya kushindwa kuomba radhi kutokana na kashfa alizozitoa dhidi yao.
Guninita alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wake na waandishi wa habari,uliofanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo.
Hatua hiyo imekuja baada ya Makonda kuandikiwa barua Februari 12 mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani