Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maofisa polisi 120 watimuliwa CCP

Moshi. Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI AFUNGA MAFUNZO YA WAKAGUZIWASAIDIZI WA JESHI LA POLISI CCP-MOSHI

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride la wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akimvisha cheo wp 2704 ssgt Batuli kuwa mkaguzi msaidizi wa jeshila polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Maofisa uvuvi watimuliwa

MAOFISA uvuvi watatu wilayani Ukerewe katika Mkoa wa Mwanza, wamefukuzwa kazi kwa madai ya kughushi vitabu vya leseni na kujipatia fedha kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Habarileo

Picha ya mahaba yaponza Polisi 3, watimuliwa

ASKARI Polisi wawili ambao picha yao ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii wiki hii katika mkao wa uhusiano wa kimapenzi, wamefukuzwa kazi. Picha hiyo ilionesha askari hao wa Kikosi cha Usalama Barabarani wakiwa kwenye sare za jeshi hilo huku mwanamume akiwa amempakata wa kike wakipigana busu.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi watatu watimuliwa kwa uzushi

Polisi mkoani Kigoma imewafukuza kazi askari wake watatu kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu kwa kurusha taarifa za uwongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa Jeshi la Polisi nchini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi. Picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Polisi waliopiga picha za mahaba watimuliwa kazi

10157122_791481054226467_2516584315463168131_n

Hili ndio tukio lililosababisha kufukuzwa kazi wakiwa na sare za kazi.

Na Mwandishi wetu, Kagera

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, limewafukuza kazi askari watatu wa Kikosi cha Usalama barabarani ‘Trafiki’ kwa kukosa la kupiga picha zisizo na maadili wakiwa na sare za kazi.

Picha hiyo ilianza kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii hivi karibuni zikionyesha askari hao wakiwa katika ‘mahaba’ huku wamevaa sare za Jeshi hilo.

Akitoa taarifa mbele ya wandishi wa habari mapema jana Oktoba...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi

Polisi wa Kituo cha Nkome wilayani Geita, hawana mahala pa kuishi wala kufanyia shughuli zao za kiofisi, baada ya kutimuliwa na mmiliki wa nyumba waliyopanga kutokana na Serikali ya Kijji cha Nkome kushindwa kulipa kodi kwa miaka mitatu ya Sh3.3 milioni.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Maofisa wa JWTZ, Polisi wafa ajalini


Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo
OFISA WA Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Edward Mosi na Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Johnson Zakaria, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Chamakweza mkoani Pwani.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema jana kuwa ajali hiyo ilitokea saa 7.15, mchana.
Alisema ajali hiyo ilihusisha gari lenye namba za usajili T. 164 AUS na T. 498 AZ aina ya Scania.
Matei alisema gari hilo lilikuwa likiendeshwa na Hassan Shabani mkazi wa...

 

10 years ago

GPL

MLIPUKO WAUA MAOFISA WA POLISI MISRI

Maofisa wa polisi wakiwa eneo ulipotokea mlipuko huo. MAOFISA wawili wa polisi wameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea leo kwenye wilaya ya Bulaq Abu-al-Ila jirani na Wizara ya Mambo ya Nje jijini Cairo nchini Misri. Mlipuko huo umetokea katika mtaa uliojaa watu wengi jirani na Mto Nile na bomu hilo linadaiwa kutegwa chini ya mti uliokuwa katika eneo hilo. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililodai kuhusika na shambulio hilo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani