Maofisa wa Serikali kufundishwa itifaki
CHUO cha Diplomasia kitaendesha mafunzo ya itifaki na uhusiano kwa maofisa wa Serikali na sekta binafsi, lengo likiwa ni kuwaongezea uwezo maofisa hao na kuboresha utendaji wa kazi zao. Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Innocent Shoo, alisema jana Dar es Salaam mafunzo hayo yanatarajiwa kuwa Machi 31 hadi Aprili 4 na ni mwendelezo wa mafunzo ya muda mfupi, yatolewayo chuoni hapo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Serikali yatakiwa kuthamini maofisa ustawi wa jamii
BAADHI ya wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii wamesema serikali kutoitambua Idara ya Ustawi wa Jamii husababisha wataalamu wake washindwe kutekeleza majukumu yao ipasavyo katika jamii. Akizungumza kwa niaba...
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Kichina kufundishwa shuleni Tanzania
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
11 years ago
Mwananchi16 Dec
Vijana kufundishwa kilimo cha kisasa
10 years ago
GPLWANAWAKE KUFUNDISHWA NAMNA YA KUTUMIA FURSA
10 years ago
GPLMAMIA YA WATU WAENDELEA KUFUNDISHWA UJASIRIMALI TANDALE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFJe6VPWRxbxSOBSjR*jclh25heaO*n8N4igR7dbk3UxljDZPf*qpr21hweHa4CCKFQ2sNABJkCUEL*Sl6LnVg5w/auntezekiel1.jpg)
AUNT EZEKIEL: SIDHANI KAMA WEMA NI MTU WA KUFUNDISHWA
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Umeshafikiria kufundishwa na mwalimu mwenye umri wa miaka 100?
KUNA usemi kuwa kujifunza hakuna mwisho, lakini mama huyu Agnes Zhelesnik (101) amebadili maana imekuwa kinyume chake kufundisha hakuna mwisho.
Kwa sasa anatajwa ni mwalimu mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani baada ya Januari mwaka huu kutimiza miaka 101 tangu kuzaliwa lakini bado hajaacha kufundisha uchumi wa nyumbani.
Mwalimu huyo mkongwe anayefundisha watoto wenye umri chini ya miaka 10 katika Shule ya Sundance North Plaintfield, New Jersey Marekani alizaliwa Januari 12, 1914...
9 years ago
Habarileo10 Oct
Afrika yatakiwa kuridhia itifaki haki za binadamu
RAIS wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(ACHPR), Jaji Augustino Ramadhani amewataka wabunge barani Afrika kuzishinikiza nchi zao kuridhia itifaki ya haki za binadamu iliyokubaliwa miaka 18 iliyopita.