MAMIA YA WATU WAENDELEA KUFUNDISHWA UJASIRIMALI TANDALE!
Mwang'amba akitoa mafunzo. Mwalimu wa Dk. Didas Lunyungu akionesha moja ya kitambaa alichokitengeneza. Mwang'amba akitoa mafunzo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
WAKATI joto la uchaguzi likiendelea kupanda katika jimbo la Iringa mjini, mamia ya vijana, wanawake, walemavu na wazee katika jimbo hilo wanaendelea kuchangishana fedha ili kumuwezesha mwanahabari Frank Kibiki kuchukua fomu ya kuomba ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM, kwenye jimbo hilo.Zoezi hilo linaloendeshwa na baadhi ya vijana waliomtaka Kibiki ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM taifa, kutotoa rushwa badala yake atumie hoja kuelezea sera zake, walisema...
10 years ago
GPLMAMIA YA WATU WAMUAGA KOMBA SONGEA
5 years ago
MichuziGEORGE FLOYD; MMAREKANI MWEUSI ALIYEKUSANYA MAMIA YA WATU KUPINGA KIFO CHAKE
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
"SIWEZI KUPUMUA" ni kauli ya mwisho ya George Floyd mmarekani mweusi aliyefariki baada ya kukandamizwa shingo kwa dakika takribani nane hadi kupoteza uhai na afisa wa polisi wa Minneapolis Derek Chauvin akituhumiwa kutoa pesa bandia ya dola ishirini katika duka moja akiwa ananunua sigara.
Floyd (46) alizaliwa Kaskazini mwa Carolina na kuishi Houston na Texas akiwa mdogo na alihamia Minneapolis miaka ya nyuma baada ya kutoka gerezani kwa lengo la kutafuta kazi...
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Breaking News…Bomu lalipuka na kujeruhi mamia ya watu Arusha Night Park usiku huu
Habari za kuthibitika kutoka chanzo chetu kinasema watu wasiofahamika wamerusha bomu la mkono (Granade) kwenye Bar maarufu jijini Arusha inayofahamika kwa jina la Arusha Night Park almaarufu kama “Matako Bar” iliyopo maeneo ya Mianzini.
Chanzo chetu kinasema kuwa watu wawili wamepoteza maisha hadi sasa na wengine wengi idadi isiyofahamika wamejeruhiwa vibaya huku wengine wakiwa wamekatika mikono, miguu na kuchuruzikwa na damu.
Mkasa huo umetokea wakati umati wa watu ukiwa umekusanyika...
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS, DK. BILAL AONGOZA MAMIA KWENYE MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA DAR
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Vijana wahimizwa ujasirimali
Katibu tawala mkoa wa Singida, Liana Hassan,akitoa mada yake ya ufugaji nyuki kwa chakula, uchumi na mazingira kwenye mafunzo yaliyohudhuriwa na wawakilishi 108 wa vukundi vya wafugaji nyuki katika wilaya ya Ikungi.Liana kitaaluma ni mtaalamu wa nyuki.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
SERIKALI Mkoani Singida, imewahimiza wananchi wa vikundi mbalombali vya ujasiriamali wanaobahatika kupata mafunzo kuyatumia kikamilifu mafunzo hayo,waweze kufanya shughuli za kwa ufanisi zaidi.
Wito huo ulitolewa...
10 years ago
Michuzi9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Kichina kufundishwa shuleni Tanzania
11 years ago
Habarileo20 Mar
Maofisa wa Serikali kufundishwa itifaki
CHUO cha Diplomasia kitaendesha mafunzo ya itifaki na uhusiano kwa maofisa wa Serikali na sekta binafsi, lengo likiwa ni kuwaongezea uwezo maofisa hao na kuboresha utendaji wa kazi zao. Ofisa Uhusiano wa Chuo hicho, Innocent Shoo, alisema jana Dar es Salaam mafunzo hayo yanatarajiwa kuwa Machi 31 hadi Aprili 4 na ni mwendelezo wa mafunzo ya muda mfupi, yatolewayo chuoni hapo.