Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Mkutano mkuu TFF ujadili maendeleo

>Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitangaza wiki hii kuwa litakuwa na mkutano mkuu wa mwaka Machi 14 na 15 mkoani Morogoro badala ya Singida kama ilivyokuwa imepangwa awali katika kuhakikisha kuwa vyombo muhimu vya uamuzi vinafanya mikutano yake nje ya Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF WAAHIRISHWA

Mkutano Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliokuwa ufanyike Tanga ikiwamo shughuli ya uwekaji jiwe la msingi kwenye kiwanja cha TFF jijini Tanga sasa umeahirishwa kwa muda usiojulikana.
Mwishoni mwa mwezi Novemba 2015, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) mkoa wa wa Ilala ulitoa agizo la kufungwa na kuchukuliwa fedha kutoka kwenye akaunti za Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) ili kulipa fedha zaidi ya shilingi bilioni 1.6, sehemu kubwa ikiwa ni malipo ya kutoka kwenye mishahara...

 

9 years ago

Mtanzania

Mkutano Mkuu TFF Des 19

21NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

MKUTANO Mkuu wa kawaida wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unatarajiwa kufanyika Desemba 19 na 20, mwaka huu.

Kikao cha Kamati ya utendaji cha Shirikisho hilo, kilichokutana Septemba 6 mwaka huu kimepanga kufanyika kwa mkutano huo huku ajenda zake zitatangazwa baadaye.

Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, alisema ajenda hizo zitatolewa kwa mujibu wa Katiba ya TFF.

“Tunawataarifu wajumbe wa mkutano mkuu tarehe ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Vumbi kutimka mkutano mkuu TFF

Wakati mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukitarajiwa kufanyika Jumamosi mjini Morogoro baadhi ya mambo yanatajwa kuvuta hisia za wajumbe wa mkutano huo.

 

9 years ago

Mtanzania

Hofu yaghubika Mkutano Mkuu TFF

NA OSCAR ASSENGA

VIONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga (TRFA), wameingiwa na hofu kuhusiana na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), uliopangwa kufanyika katika Hoteli ya Regal Naivera, baada ya kushindwa kuelezea maandalizi yake.

Akizungumza mkoani hapa, Msimamizi wa Kituo cha Tanga na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Mkoa wa Tanga, Khalid Abdallah, alisema wao hawawezi kuzungumzia maandalizi ya mkutano huo kwa sababu maelezo yanatolewa na Ofisa Habari wa TFF, Baraka...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA TFF DISEMBA 19, 2015

Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kilichokaa tarehe 06/09/2015 kilipanga tarehe ya Mkutano Mkuu wa TFF kuwa ni Disemba 19-20, 2015.Ajenda za Mkutano zitakuwa ni kwa mujibu wa katiba ya TFF.

 

10 years ago

Mwananchi

Ndumbaro: Hatima yangu mkutano mkuu wa TFF mwakani

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Simba na mjumbe wa Bodi ya Ligi, Damas Ndumbaro amesema hatima ya adhabu tata aliyopewa ya kufungiwa miaka saba, itajulikana kwenye mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

Michuzi

TFF yaiagiza Klabu ya Coastal Union kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama

KUFUATIA vikao vya maridhiano ya Uhakiki wa wanachama wa Klabu ya Coastal Union ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF) Ahmed Iddi Mgoyi.
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine ameiandikia barua Klabu ya Coastal Union akiiagiza klabu hiyo kuitisha mkutano mkuu wa dharura wa wanachama tarehe 17 Mei mwaka 2015.
Matokeo ya maamuzi haya yamepatikana baada ya kikao cha usuluhishi cha amani kilichoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Iddi Mgoi...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA MISITU

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendego akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa nne wa wadau wa sekta ya misitu unaolenga kuangazia masuala ya usimamizi shirikishi ya misitu vijijini ulioandaliwa na Taasisi ya UONGOZI mjini Mtwara. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Ally, Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba na Mkuu wa Utafiti na Sera wa Taasisi ya UONGOZI Bw. Denis Rweyemamu. Kaimu Mkurugenzi wa Misitu na Nyuki Bi. Gladness Mkamba akitoa mada kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano Mkuu wa 49 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika wamalizika Jijini Kigali,Rwanda

Katibu Mkuu Dkt.Servacius Likwelile akiwa na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Kanda ya Afrika Mashariki Nd. Gabriel Negatu katika Mkutano uliofanyika katika ukumb wa Ecobank Jijini Kigali Rwanda. Mh.Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akijadiliana jambo na mmoja wa washiriki wa Mkutano wa 49 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unafanyika Kigali Rwanda. Pembeni ni mwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile na msaidizi wa Waziri Bw.Thomas Mabeba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani