MAONI: Taarifa hii ya TCAA isiwe ya kisiasa
>Wiki hii, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imetoa taarifa kwa umma kuhusu matumizi ya helikopta katika maeneo ya hadhara na mikusanyiko ya watu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Bajeti hii isiwe kiini macho kwa wananchi
Jana Waziri wa Fedha, Saada Mkuya aliwasilisha bajeti kuu ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2015/16.
10 years ago
Mwananchi24 Sep
MAONI: Suala la matumizi ya EFD lisichukuliwe kisiasa
>Tangu Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na timu yake waanze ziara ya kikazi katika baadhi ya mikoa wiki iliyopita, wamesikika wakitoa kauli katika mikutano ya hadhara ambazo zimechukuliwa na baadhi ya wananchi kwamba zinaidhoofisha Serikali ya chama hicho.
10 years ago
Mwananchi12 Apr
MAONI: Uamuzi wa kisiasa unagharimu roho za watu
>Juzi Serikali ilifanikiwa kumaliza mgomo wa madereva wa mabasi ya masafa marefu na mafupi baada ya kutoa matamko ya kufuta kuanza kutumika kwa kanuni mpya ambazo zililenga kulinda usalama wa wasafiri kwa kuzuia ajali za mara kwa mara.
10 years ago
Mwananchi13 Feb
MAONI: Usambazaji nakala za Katiba usifanywe kisiasa
>Hatimaye nakala za Katiba Inayopendekezwa zimeanza kusambazwa katika kata zote 3,800 nchini ili kuwawezesha wananchi kuelewa vyema maudhui yaliyomo kabla ya kuipigia kura ya maoni ya kuikubali au kuikataa ifikapo Aprili 30, mwaka huu.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-h7cmWLKY5no/VlrqPAPACeI/AAAAAAAIJAQ/1aiBBnCXSQo/s72-c/portland-press-herald_3258397.jpg)
NEWS ALERT: TAARIFA SAHIHI YA TAARIFA YA MABUNDA YA NOTI KWENYE NDOO INAYOZAGAA MITANDANO HII HAPA....
![](http://3.bp.blogspot.com/-h7cmWLKY5no/VlrqPAPACeI/AAAAAAAIJAQ/1aiBBnCXSQo/s640/portland-press-herald_3258397.jpg)
9 years ago
Michuzi14 Sep
Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.
Katika ukurasa wa mbele na wa tano wa Gazeti la Nipashe, toleo 0578604 la tarehe 12 Septemba, 2015 kumechapishwa taarifa kwamba “Sefue; Marufuku kutumia magari ya serikali kwenye kampeni”
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”
Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”
Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...
10 years ago
Mwananchi10 Apr
MAONI: Serikali isihodhi taarifa, iwape wananchi
>Moja ya matatizo makubwa yanayojionyesha wazi kwa Serikali yetu ni kuficha au kujivuta kutoa taarifa muhimu kwa wananchi kuhusu mambo mbalimbali yanayoibuka na kuitia hofu jamii.
11 years ago
Michuzi19 May
11 years ago
Mwananchi11 Apr
MAONI: Kanda ya Ziwa changamkia fursa hii
>Jana ilikuwa siku ya kihistoria kwa kampuni na wafanyakazi wa Mwananchi Communications Ltd (MCL), inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania