MAONI: Wafadhili wameruhusu fedha, tusibweteke
>Tanzania ni kati ya mataifa ya Afrika yanayopata misaada ya maendeleo kutoka mataifa wahisani na jumuiya za kimataifa, kwa taratibu zilizowekwa, lengo likiwa kufikia malengo yake kiuchumi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo05 Sep
JK: Kuweni wazi na fedha za wafadhili
RAIS Jakaya Kikwete amezitaka asasi za kiraia kuweka wazi fedha wanazozipata kutoka kwa wafadhili na namna wanavyozitumia, na wanapotakiwa na Serikali kutoa taarifa hizo wasione kama wanaingiliwa utendaji wao.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VLMYemhWUbM/Xuo1oAjmCII/AAAAAAALuRk/mpPbDqBu20s7Nx3Q2StL4nvmC_-T_Fv9QCLcBGAsYHQ/s72-c/8d18c7f7-a65f-4f2d-bc27-bf50de737f0c.jpg)
NGOs WEKENI WAZI MATUMIZI YA FEDHA ZA WAFADHILI-WAZIRI UMMY
![](https://1.bp.blogspot.com/-VLMYemhWUbM/Xuo1oAjmCII/AAAAAAALuRk/mpPbDqBu20s7Nx3Q2StL4nvmC_-T_Fv9QCLcBGAsYHQ/s640/8d18c7f7-a65f-4f2d-bc27-bf50de737f0c.jpg)
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na viongozi wa Wizara mbalimbali na wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali wakati wa Uzinduzi wa Muongozo wa Uratibu wa Masirika Yasiyo ya Kiserikali Tanzania Bara leo (17/06/2020) Jijini Dodoma.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/746dae25-a501-4397-994e-9828004413f5.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Dec
Ukimwi bado upo, tusibweteke tuchukue hatua
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
KURA YA MAONI: Wanaoipinga wapatiwe fedha za serikali
MCHAKATO wa kuandika Katiba mpya umetawaliwa na vimbwanga tangu kuanza kwake hadi hapa tulipofikia. Karibu kila hatua inakuwa na matukio ambayo baadhi yake yanatishia kuufanya mchakato huo usiweze kuipatia nchi...
10 years ago
Mwananchi06 Apr
MAONI: Tumedharau michezo, wenzetu wanavuna fedha
10 years ago
Mwananchi12 Jul
MAONI : Serikali ijipange kuukabili upungufu fedha za Ukimwi
10 years ago
Vijimambo![](http://lh5.ggpht.com/-CR99I05I4pA/VCRLaiXqgZI/AAAAAAAACPE/VOfXwupP5O8/s72-c/IMG_20140921_225237.jpg)
MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU
EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.
Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Ubadhirifu wakimbiza wafadhili