Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maoni ya wasanii ni muhimu kwenye Katiba

Viongozi na wasanii kutoka baadhi ya vyama na mashirikisho ya sanaa nchini hivi karibuni walitembelea Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma kuwasilisha kilio chao cha kutaka wasanii kutambuliwa kama kundi kubwa maalumu pamoja na milikibunifu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba liahirishwe, twende kwenye kura ya maoni

Bunge Maalumu la Katiba linatarajiwa kuanza mnamo Agosti 5 mwaka huu, likiendeleza mjadala wa siku 70 wa rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

GPL

SLAA: ASILIMIA 72 YA MAONI TULIYOKUSANYA YAMO KWENYE RASIMU YA PILI YA KATIBA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Wilbrod Slaa amesema asilimia 72 ya maoni yalikusanywa toka kwa wananchi na CHADEMA yamo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Slaa aliyasema hayo mjini Songea akiwa katika Operesheni M4C Pamoja Daima.

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Leo ni Bajeti, ni muhimu kuisikiliza, kuielewa

Watanzania leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 jioni bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Ni muhimu wagombea urais kushiriki midahalo

>Taasisi ya CEO Roundtable imeandaa midahalo kwa ajili ya watu ambao wametangaza nia au kujitokeza kuwania urais kwa kupitia vyama tofauti, kwa kuanzia na CCM ambayo imeshaanza mchakato wa Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Ni muhimu wananchi kufuata kanuni za afya

Gazeti hili toleo la Septemba Mosi katika ukurasa wake wa sita, kulikuwa na habari iliyomnukuu Ofisa Afya wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Mathias Kapizo akizungumzia sababu za kujikita kwa ugonjwa wa kipindupindu katika mkoa huu, ambao hadi sasa umewakumba watu zaidi ya 400.

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Bajeti ni muhimu zaidi, wabunge waache siasa

>Bunge la Bajeti limeanza jana na kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bunge, litatumia siku 44 badala ya 56 zilizokuwa zikitumika awali.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo sita muhimu kuelekea Kura ya Maoni, Uchaguzi Mkuu

Hofu ya kukataliwa kwa Katiba Mpya kumeifanya Serikali ivunje makubaliano ya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kwamba Kura ya Maoni isitishwe hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani