MAONYESHO YA TEHAMA YAENDELEA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE DAR

Mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta-Chang'ombe, Innocent Richard (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wananchi waliofika kwenye banda lao. Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Veta-Chang'ombe, Emmanuel Bukuku (kulia) akiwa kwenye banda lao akionesha kompyuta iitwayo 'Computer Training Kit' ambayo ni ya kisasa kwa ajili ya kufundishia.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMAONYESHO YA BIASHARA YAANZA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.




10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Banda la NSSF lawa gumzo maonyesho ya kimataifa ya 39 (Sabasaba) viwanya vya Mwalimu Nyerere Dar

Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.

Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39...
10 years ago
Vijimambo30 Jun
BANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM



10 years ago
VijimamboYALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS
11 years ago
Dewji Blog12 Oct
Taasisi ya Mwalimu Nyerere yaandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonyesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani.
Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na kumalizika terehe 17 mwezi huu yatafanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Kwa...
11 years ago
Dewji Blog07 Jul
PPF yaendelea kung’aa kwenye maonyesho ya Sabasaba, Jijini Dar
Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba.
Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho...
11 years ago
GPLPPF YAENDELEA KUNG'AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR
10 years ago
GPLMKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA JULIUS NYERERE-DAR