Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maporomoko ya ardhi yaua watu 32 Japan

Watu wapatao 32 wameuawa katika maporomoko ya ardhi katika mkoa wa Hiroshima magharibi mwa Japan.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Maporomoko yaua familia mbili

WATU wanne wa familia mbili tofauti, wamepoteza maisha huku wengine wawili wakijeruhiwa katika eneo la Sinai-Mabatini, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza baada ya kuporomokewa na mawe kufuatia mvua kubwa iliyonyesha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko ya udongo yaua Ulaya

Watu wanne wamekufa kufuatia maporomoko ya udongo nchini Italia na Uswisi

 

11 years ago

Michuzi

AJALI YA MAPOROMOKO KILIMANJARO YAUA MMOJA

Leo majira ya saa kumi alfajiri kumetokea ajali ya maporomoko ya mawe katika eneo la juu la Mlima Kilimanjaro la Hans Meyer na kusababisha kifo kwa mwanafunzi Malata Thomas kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli .Aidha, mwanafunzi mwingine Matenga S.J alivunjika mguu wake na anaendelea na matibabu katika hospitali ya KCMC mjini Moshi. Wanajeshi hawa walikuwa pamoja na wenzao 265 walikuwa katika mafunzo yao ya kawaida ya ukakamavu katika Mlima Kilimanjaro.
Shirika la Hifadhi za Taifa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko yawaua watu 15 Nepal

Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.

 

11 years ago

GPL

IDADI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA MAPOROMOKO MAREKANI YAFIKIA 14

Waokoaji wakitafuta watu waliopotea katika maporomoko. MAOFISA wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea siku ya Jumamosi. Hii imefikisha idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko hayo hadi 14. Watu 176 bado hawajapatikana baada ya ukuta wa matope wenye urefu wa futi 177 kuporomoka karibu na mji wa Oso, Kaskazini mwa Seattle. Zoezi la uokoaji...

 

11 years ago

GPL

IVORY COAST YAUA, YAIBAMIZA JAPAN 2-1

Mshumbuliaji wa Ivory Coast, Gervinho (kushoto) akishangilia bao lake na Didier Drogba. Keisuke Honda akiifungia Japan bao lao dakika ya 16.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko la ardhi latikisa Japan

Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mji wa Tokyo Japan muda mchache uliopita

 

10 years ago

BBCSwahili

Jivu la Volkano lawaua watu 30 Japan

Takriban wakwea milima 30 huenda wameaga dunia nchini Japan kufuatia kulipuka kwa mlima wa Volcano siku ya Jumamosi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali yaua watu 17 Tanzania

Watu 17 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea mkoa wa Dodoma katikati mwa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani