Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maproo nane wachemsha Ligi Kuu

Wachezaji nane wa kigeni wameshindwa kuthibisha ubora wao katika Ligi Kuu inayoondelea kutimua vumbi nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

10 years ago

GPL

TOFAUTI KUU NANE (8) KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA!

NANZE kwa kusema kwamba mfanyabiashara na mjasiriamali wana tabia nyingi za kufanana. Na ukiangalia zaidi, neno mfanyabiashara lipo tangu zamani lakini neno

mjasiriamali ni jipya.  Watu wote hawa wanasababisha kuwepo kwa ajira, wanatatua matatizo ya wateja wao na kusaidia maendeleo ya uchumi wa nchi. Tukiangalia maana ya maneno haya, hasa neno mjasiriamali, ndipo tunapoona tofauti.

Neno hili ni la Kifaransa kwa...

 

10 years ago

GPL

TOFAUTI KUU NANE (8) KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA!-2

James Mwang’amba Tofauti ya TATU ni namna ya KUHATARISHA au kiwango cha Kuthubutu (Risk Taking). Mara nyingi wafanyabiashara wanaogopa sana kuthubutu, wanaogopa kwamba wanaweza kupata hasara.Lakini kwa wajasiriamali kuthubutu ni kitu cha kawaida kwao. Huwa wanathubutu katika mambo ya hatari mno kwa sababu wana ule moyo wa kufanya kile wanachokifanya.
Tofauti ya NNE ni kwa jinsi wanavyoishi au kuwachukulia WAAJIRIWA au...

 

10 years ago

Michuzi

Statoil yafanya ugunduzi wa nane wa gesi asilia katika Bahari Kuu ya Tanzania

Na. Johary Kachwamba – MAELEZO, DODOMASerikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetangaza ugunduzi wa gesi asilia katika Miamba ya Mchanga kwenye kisima kinachochimbwa na Statoil cha Mdalasini-1 kwenye bahari kuu ya Tanzania.
Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene amebainisha hayo kwenye mkutano na Waandishi wa Habari mjini Dodoma. Baada ya kuthibitishwa na Makamu wa Rais wa Statoil, Nick Maden pamoja na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
“ugunduzi huo wa gesi...

 

10 years ago

Mwananchi

Anasa za Bongo zinawaua maproo

Kocha Mkuu wa Sports Club Villa ya Uganda, Kiria Ibrahim amesema maisha ya anasa na starehe nyingi Tanzania ni sababu inayowafanya wachezaji wengi wanaocheza soka la kulipwa nchini kushuka viwango vyao.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota wa dirisha dogo wachemsha

Pamoja na baadhi ya klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kutumia mamilioni ya fedha kufanya usajili wa wachezaji kwenye dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, nyota wengi waliosajiliwa na timu hizo wameshindwa kuzisaidia timu zao kwa kiasi kikubwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani