TOFAUTI KUU NANE (8) KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA!-2
James Mwang’amba Tofauti ya TATU ni namna ya KUHATARISHA au kiwango cha Kuthubutu (Risk Taking). Mara nyingi wafanyabiashara wanaogopa sana kuthubutu, wanaogopa kwamba wanaweza kupata hasara.Lakini kwa wajasiriamali kuthubutu ni kitu cha kawaida kwao. Huwa wanathubutu katika mambo ya hatari mno kwa sababu wana ule moyo wa kufanya kile wanachokifanya. Tofauti ya NNE ni kwa jinsi wanavyoishi au kuwachukulia WAAJIRIWA au...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljwwsQiAwzCpD9UtJJEoAp6FkBLlJX7QK8ICOYARv53sPs8ISuIyn3OUjnNOrvuPLx66ICN*h6WUe0usjIwJaZ0I/mchele.jpg?width=650)
TOFAUTI KUU NANE (8) KATI YA MJASIRIAMALI NA MFANYABIASHARA!
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VkEAFT2Lqac/U-SHgOQcrhI/AAAAAAAF93g/4zreYTNcIQY/s72-c/Maonyesho+ya+Kilimo+Nane+Nane+Kanda+ya+kati+katika+Viwanja+vya+NZUGUNI+DODOMA-2014+(8).jpg)
Katibu Mkuu kiongozi katika maonyesho ya Nane nane kanda ya kati Dodoma
![](http://4.bp.blogspot.com/-VkEAFT2Lqac/U-SHgOQcrhI/AAAAAAAF93g/4zreYTNcIQY/s1600/Maonyesho+ya+Kilimo+Nane+Nane+Kanda+ya+kati+katika+Viwanja+vya+NZUGUNI+DODOMA-2014+(8).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-LnzYgndBy2Q/U-SHaVuayCI/AAAAAAAF92o/7ip9X80_Gcc/s1600/Maonyesho+ya+Kilimo+Nane+Nane+Kanda+ya+kati+katika+Viwanja+vya+NZUGUNI+DODOMA-2014+(10).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Jzbr9Hw43EA/U-SHbPUZGzI/AAAAAAAF920/sVQMt4cx1dY/s1600/Maonyesho+ya+Kilimo+Nane+Nane+Kanda+ya+kati+katika+Viwanja+vya+NZUGUNI+DODOMA-2014+(11).jpg)
10 years ago
MichuziSHEREHE ZA NANE NANE KANDA YA KATI KUFANYIKA VIWANJA VYA NZUGUNI MKOANI DODOMA
maandalizi ya sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitakazo fanyikasambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Kitaifa kuanzia AgostiMosi Mkoani Dodoma.
Sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitafanyika sanjari na Maonesho na mashindano maalum ya mifugo ya 5 Kitaifa katika uwanja wa Nzuguni Dodoma kuanzia tarehe 01/08 hadi 08/08/2015.
Sherehe za Nane Nane mwaka huu 2015 zinakwenda kwa Kaulimbiu inayosema “Matokeo Makubwa...
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Tofauti 15 kati ya Mrema, Lowassa
10 years ago
VijimamboTofauti Kati ya Mrema na Lowasa Kwenye Ugombea Uraisi
Tofauti kati ya Mrema na Lowasa wote wakiwa wametokea CCM na wote wakiwa wagombea uraisi kupitia upinzani walikoingia bila kujua sera za vyama walivyoingia kwa kuwa waliingia chap chap ni kama ifuatavyo1.Mrema alikuwa akiungwa na makundi ya wasomi waliobobea wakiwemo maprofesa walikuwa tayari kumbeba na kusukuma gari lake kuonyesha upendo wao kwake.Lowasa wasomi wamekaa naye mbali wengi hata kumsikia hawataki kuanzia wasomi wakubwa hadi wadogo.Slaa alikuwa kipenzi cha wasomi
2.Mrema aliungwa...
11 years ago
Bongo502 Aug
Audio: G-Lover azungumzia tofauti iliyopo kati ya Diamond na Alikiba
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XrJGhsvolvA/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Coronavirus: Tofauti kati ya virusi vya corona, homa ya kawaida na mzio
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZ:WATU NANE WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE WAKIINGIA NCHINI KWA PASPOTI BANDIA ZA MATAIFA TOFAUTI YA ULAYA