Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maradhi yamtenganisha na mumewe

LINDA Msoka (57), mkazi wa Mbezi Beach, alitelekezwa  na mume wake baada ya kuugua maradhi ya Kisukari na Presha. Msoka, aliyekuwa Mhasibu wa Hazina ambaye kwa sasa hawezi kuzungumza vizuri, ...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO-2

Leo nitazungumzia maradhi mbalimbali ya fizi na meno na namna ya kuyazuia. Aina za maradhi ya fizi na dalili zake.Dalili za advanced periodontitis ni kuwa na harufu mbaya ya mdomo ambayo haiishi. Fizi kuvimba, kuwa nyekundu na laini. Dalili nyingine ni fizi kusogea mbali na meno, kuhisi maumivu wakati wa kutafuna na kupoteza hisia katika meno. Sababu za maradhi ya fizi.
Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu awe katika...

 

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO

Leo nitazungumzia maradhi mbalimbali ya fizi na meno na namna ya kuyazuia.
Aina za maradhi ya fizi na dalili zake. Kupiga mswaki na kutunza meno siyo suala gumu na iwapo tutapiga mswaki ipasavyo pamoja na kutumia nyuzi kusafisha katikati ya meno, tunaweza kuzuia maradhi ya fizi na pia meno kuoza.
Maradhi ya fizi husababishwa na utando kwenye meno unaotengenezwa na bakteria, ute na chembechembe nyinginezo zinazoganda kwenye...

 

10 years ago

GPL

MARADHI YA FIZI NA MENO-4

Ni wiki nyingine tena mpenzi msomaji wa safu hii tunakuletea sehemu ya mwisho ya mada yetu ambapo leo tunaangalia kipengele hiki muhimu kilichopo hapa chini. JINSI YA KUPIGA MSWAKI
Kwanza kabisa tunashauriwa kupiga mswaki asubuhi na kabla ya kwenda kulala. Ikiwezekana piga mswaki baada ya kula chakula. Kama hauwezi, piga mswaki baada ya kula vyakula vya sukari. Tunapaswa kutumia mswaki laini. Ikiwa unahitaji usaidizi katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maradhi ya akili ni kero TZ

Tanzania, inasemekana kukabiliwa na uhaba wa wataalamu wa kuhudumia wagonjwa wa akili kutokana na idadi ya wagonjwa wenyewe

 

10 years ago

BBCSwahili

Pua la kielektroniki latambua maradhi

Kunusa haja kubwa kwa kutumia pua la kielektroniki, kunaweza kusaidia kutambua viini vya Bacteria vinavyosababisha maradhi mabaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Maradhi ya ngozi yaenezwayo na virusi

Katika mwendelezo wa makala haya juu ya ngozi, najibu swali la dada Vicky Kombe aliyetaka kujua juu ya maradhi ya rubella na kama ni kweli yanaweza kuwa chanzo cha kushindwa kupata watoto.

 

10 years ago

Tanzania Daima

80% wana maradhi ya tumbo Handeni

ASILIMIA 80 ya wagonjwa wanaolazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Handeni wanaugua homa ya matumbo. Maradhi hayo yanatokana na idadi kubwa ya wakazi wa wilaya hiyo kukosa vyoo hivyo kujisaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Foleni yazua maradhi mapya

Wakati kukiwa na ongezeko kubwa la ununuzi wa magari na kusababisha idadi kubwa ya vyombo hivyo vya usafiri, foleni za magari nchini, hasa jijini Dar es Salaam, imefikia hatua ya kutisha huku ikisababisha madhara makubwa kiuchumi, kijamii na kiafya, ikiwamo magonjwa ya akili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani