Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pua la kielektroniki latambua maradhi

Kunusa haja kubwa kwa kutumia pua la kielektroniki, kunaweza kusaidia kutambua viini vya Bacteria vinavyosababisha maradhi mabaya.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Magufuli aangukia pua

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.

Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa jana kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.

Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na...

 

10 years ago

GPL

WALIOANGUKIA PUA CCM

WAKATI kura za maoni zikileta shangwe na vilio kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi kote nchini, watu walioangukia pua wakati wa kura za maoni wameshikana uchawi na wenzao wakiwatuhumu kuwa ndiyo chanzo cha anguko lao. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1M4o6Sq

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto azaliwa bila pua

''Alipozaliwa daktari alimweka kifuani mwangu. Nilipomwangalia kwa karibu, nilisema ' Hana pua'. Walimchukua na kutoka naye.

 

9 years ago

Vijimambo

MAWAZIRI WATANO WAANGUKIA PUA

By Waandishi Wetu, Mwananchi

Mikoani. Mawaziri watano wa Serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi majimboni mwao, sambamba na wagombea wengine maarufu wa Bunge lililopita baada ya matokeo ya kura zilizopigwa Jumapili kuanza kutangazwa jana.

Mawaziri hao wanaungana na wabunge wengine maarufu wa Bunge la Kumi walioshindwa kutetea majimbo yao, wakiwamo wa kambi ya upinzani ambao wameangushwa na wagombea wa CCM.

Pia wamo mawaziri wa zamani wawili, Cyril Chami na Omary Nundu...

 

10 years ago

Mwananchi

Maambukizi nyufa za vifupa vya pua

Sinusitis ni jina la kitaalamu la ugonjwa wa maambukizo ya nyufa zilizopo kwenye nafasi ya hewa au mifereji ya mifupa ya uso iliyo karibu na uso.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kisena aangukia pua Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali kesi mpya iliyofunguliwa na mmiliki wa Kampuni ya usafirishaji ya UDA, Robert Kisena dhidi ya mfanyabiashara Alex Msama na wenzake watatu kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichopo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bayern yaangukia pua,Barcelona kidedea

Mechi za klabu bingwa barani Ulaya katika hatua ya robo fainali ziliendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa michezo miwili kupigwa.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YAANGUKIA PUA KWA MGAMBO SHOOTING

Kikosi cha timu ya Mgambo Shooting ya Tanga wakionekana katika picha ya pamoja wakati wa mechi yao dhidi ya Simba Sc ya Dar es Salaam. Kikosi cha timu ya Simba Sc. Mashabiki wa timu ya Simba Sc wakiduwaa baada ya timu yao kupokea kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa Mgambo…

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani