MAWAZIRI WATANO WAANGUKIA PUA
By Waandishi Wetu, Mwananchi
Mikoani. Mawaziri watano wa Serikali inayomaliza muda wake wameanguka kwenye uchaguzi majimboni mwao, sambamba na wagombea wengine maarufu wa Bunge lililopita baada ya matokeo ya kura zilizopigwa Jumapili kuanza kutangazwa jana.
Mawaziri hao wanaungana na wabunge wengine maarufu wa Bunge la Kumi walioshindwa kutetea majimbo yao, wakiwamo wa kambi ya upinzani ambao wameangushwa na wagombea wa CCM.
Pia wamo mawaziri wa zamani wawili, Cyril Chami na Omary Nundu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Mawaziri watano chali
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Mawaziri watano waanguka kura za maoni
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-rfRW4K4twlY/Vb7xaEl_wEI/AAAAAAAAiao/h0RTNQO9pBo/s72-c/1.png)
Kura za Maoni CCM: Mawaziri Watano Waanguka.......Yumo Chikawe,Sillima,Mahanga na Makalla ,Aden Rage Pia Kaanguka!!
![](http://2.bp.blogspot.com/-rfRW4K4twlY/Vb7xaEl_wEI/AAAAAAAAiao/h0RTNQO9pBo/s640/1.png)
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa.
Kwa mujibu wa matokeo ambayo mtandao huu umeyapata, kwa upande wa mawaziri walioshindwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.Hayo yamethibitishwa na Katibu wa CCM mkoa wa Lindi, Adelina Gefi aliyesema kura za Chikawe katika jimbo lake la Nachingwea alikokuwa...
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Wabunge Chadema waangukia katika kura za maoni
10 years ago
Mtanzania23 Aug
Magufuli aangukia pua
![Waziri John Magufuli](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/John-Magufuli.jpg)
Waziri John Magufuli
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ na kuamuru Jamhuri iwarejeshee vitu vyao ikiwemo meli ya Tawaliq 1.
Wachina hao Nahodha wa meli, Hsu Chin Tai na Wakala wa Meli ya Tawaliq 1, Zhao Hanquing waliachiwa jana kupitia hati ya Nole ya kuwaondolea mashitaka.
Hii ni mara ya pili kwa Wachina hao kuachiwa kwani mara ya kwanza waliachiwa na Mahakama ya Rufaa Machi 28 mwaka huu, walikamatwa tena na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*k9pHGBCHslLEVCRELeQu7-H5N*BYQFJiNotaDofFqGX7N-U-h77vX7sYDol9OyMsVhpHmKG5hJbtM37rHvnppvjgab6FSlA/CCM.gif?width=650)
WALIOANGUKIA PUA CCM
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Pua la kielektroniki latambua maradhi
10 years ago
BBCSwahili06 Apr
Mtoto azaliwa bila pua
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Maambukizi nyufa za vifupa vya pua