Marekani yakana madai ya IS
Katika taarifa ya IS, mwanamke huyo alikuwa peke yake wakati ndege za Jordan ziliposhambulia nyumba moja nje ya mji wa Raqqa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 May
Yanga yakana madai ya TFF
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Ujerumani yakana madai ya kutoa rushwa
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Uchina yakana udukuzi nchini Marekani
10 years ago
BBCSwahili11 May
Osama:Mwandishi akanusha madai ya Marekani
5 years ago
BBCSwahili12 Mar
Coronavirus: Madai sita ya Trump kuhusu virusi vya corona Marekani yahakikiwa
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Drogba akanusha madai ya kujiunga na Chelsea wakati huu ambao ligi ya Marekani MLS imemalizika!
Drobga
Na Rabi Hume wa Modewjiblog na Mashirika ya Habari.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba (37) anayekipiga kwa sasa katika kblabu ya Montreal Impact inayoshriki ligi kuu ya Marekani MLS amekanusha uvumi uliokuwa umeanza kusambaa kuwa mchezaji huyo atajiunga na klabu yake ya Chelsea kwa mkataba wa muda mfupi wakati huu ambao ligi kuu ya Marekani imesimama.
Akizungumza na Kituo cha Habari cha Ufaransa (AFP), Drogba amesema taarifa hizo siyo sahihi kuwa atajiunga kwa muda...
9 years ago
StarTV02 Dec
Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure
Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure
Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.
Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Ngwasuma yakana kusambaratika
BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imekanusha kwamba imesambaratika kutokana na kile kilichodaiwa kuwa baadhi ya wanamuziki waliopunguzwa katika bendi hiyo kuanzisha nyingine waliyoipa jina la...
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Kenya yakana kuwahangaisha wasomali