Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujerumani yakana madai ya kutoa rushwa

Shirikisho la kandada nchini Ujerumani limekana vikali madai kuwa lilitumia rushwa ili kupata nafasi ya kuandaa kombe la dunia la mwaka 2006.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yakana madai ya IS

Katika taarifa ya IS, mwanamke huyo alikuwa peke yake wakati ndege za Jordan ziliposhambulia nyumba moja nje ya mji wa Raqqa.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yakana madai ya TFF

Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Dennis Oundo amesema alichukua fedha Sh15 milioni kwa mawakala wa kuuza tiketi wakati wa mechi dhidi ya Simba kwa utaratibu na wala hakupora kama inavyodaiwa na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

5 years ago

Ykileo

URUSI YAKANA KUISHAMBULIA KIMTANDAO UJERUMANI



KWA UFUPI: Mifumo ya kimtandao katika baadhi ya wizara za serikali ya Ujerumani ilikumbwa na udukuzi uliopelekea kuibiwa kwa taarifa kadhaa huku baadhi ya vyombo vya habari vimeishutumu Urusi dhidi ya shambulizi hilo la kimtandao. Nae waziri wa Ujerumani wa maswala ya uchumi akieleza hawana uhakika kua Urusi imehusika na shambulizi hilo. Aidha, Urusi  imekana kuhusika na shambulizi hilo.

------------------------------------------


Mataifa makubwa yenye uwezo wa kimtandao yamekua yakishutumiana...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAKANA KUWEPO KWA RUSHWA

NA MWANDISHI WETU
MAHAKAMA Kuu  ya Tanzania imewataka wananchi  wenye malalamiko kuhusu vitendo vya rushwa  mahakamani kutoa ushirikiano ili kuweza kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo.
Hayo yalisemwa katika taarifa  kwa vyombo vya habari  iliyotolewa leo jijini Dar es salaam  na   Afisa Habari  Mary Gwera wa Mahakama hiyo kufuatia gazeti moja la hapa nchini la Julai 21 mwaka huu  kupitia makala yenye kichwa cha habari  “Mtandao wa rushwa Mahakamani huu hapa” .
Taarifa hiyo imeeleza kuwa, baada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yakana kutoa hongo kwa FIFA

Afrika kusini imekana kwa mara nyengine tena kwamba ilitoa hongo ili kupewa maandalizi ya kombe la dunia la mwaka 2010.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ujerumani yapinga madai ya Netanyahu

Ujerumani imesisitiza kwamba ndiyo inayowajibika kwa mauaji ya Wayahudi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujerumani kuchunguza madai ya udukuzi

Ujerumani inachunguza madai yaliyotolewa na mtoro mmarekani, Edward Snowden kuwa Marekani ilifanyia udukuzi simu ya Chansela wa Ujerumani Angela Merkel.

 

10 years ago

BBCSwahili

Madai ya rushwa Qatar: Najihisi kuonewa

Mfichua siri za tuhuma za rushwa kutolewa na Qatar anasema anajihisi kuonewa kila wakati na kujaa hofu

 

11 years ago

GPL

MAYA ASAKAMWA MADAI YA RUSHWA, AONGEA

Na Mwandishi Wetu
BAADA ya kuzagaa kwa habari kuwa viongozi wa kamati ya uchaguzi wa Klabu ya Bongo Movie wamebwia rushwa, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ameibuka na kukanusha taarifa hizo. Mayasa Mrisho ‘Maya’. Mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo uliofanyika Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar na kumtangaza Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ kushinda nafasi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani