Afrika Kusini yakana kutoa hongo kwa FIFA
Afrika kusini imekana kwa mara nyengine tena kwamba ilitoa hongo ili kupewa maandalizi ya kombe la dunia la mwaka 2010.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 May
Afrika Kusini yakanusha ilitoa hongo
Afrika Kusini imekanusha dai kuwa SAFA ilitoa hongo ya dola milioni 10 ili taifa hilo lipewe uwenyeji wa kombe la dunia la mwaka wa 2010.
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
FIFA:Viongozi 2 Afrika Kusini mashakani
Kiongozi wa maandalizi ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini mwaka 2010 ni miongoni mwa maafisa wawili wakuu waliotajwa katika malalamishi ya uhalifu yanayodai kufanyika kwa ufisadi katika kura ya FIFA ilioamua atakayeandaa dimba hilo.
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Ujerumani yakana madai ya kutoa rushwa
Shirikisho la kandada nchini Ujerumani limekana vikali madai kuwa lilitumia rushwa ili kupata nafasi ya kuandaa kombe la dunia la mwaka 2006.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
A Kusini:Serikali yakana kumtorosha Bashir
Serikali ya Afrika Kusini imekana ripoti kwamba mawaziri wake walipanga njama ya kumtorosha rais wa Sudan Omar El Bashir wiki iliopita.
11 years ago
MichuziTANZANIA KUTOA MAFUNZO YA KILIMO KWA SUDANI YA KUSINI
Na Bashiri Kalum
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe. Eng Christopher Kajoro Chiza,( MB), amesema Tanzania ipo tayari kuendesha mafunzo ya kilimo katika vyuo vyake vya kilimo kwa wananchi wa Sudani, kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya shahada na kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na Sudani...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
EU kutoa mabilioni kwa Afrika kupunguza wahamiaji
Viongozi wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutoa mabilioni ya euro kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza mzozo wa wahamiaji Ulaya.
11 years ago
Mwananchi08 Dec
Tanzanite yatota kwa Afrika Kusini
Matumaini ya Tanzania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa wasichana imeingia kiwingu baada ya jana Tanzanite kufungwa na Afrika Kusini
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
Afrika Kusini yadorora kwa Hesabu na Sayansi
Afrika kusini imeorodheswha kama taifa linalofanya vibaya zaidi katika masomo ya hisabati na sayansi katika elimu duniani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania