URUSI YAKANA KUISHAMBULIA KIMTANDAO UJERUMANI
![](https://3.bp.blogspot.com/-neqnnTtxRf8/WpqVYl5eMjI/AAAAAAAACLk/art_jaRhjucjz1nL_gyZYItAQElci4c1gCLcBGAs/s72-c/1231.jpg)
KWA UFUPI: Mifumo ya kimtandao katika baadhi ya wizara za serikali ya Ujerumani ilikumbwa na udukuzi uliopelekea kuibiwa kwa taarifa kadhaa huku baadhi ya vyombo vya habari vimeishutumu Urusi dhidi ya shambulizi hilo la kimtandao. Nae waziri wa Ujerumani wa maswala ya uchumi akieleza hawana uhakika kua Urusi imehusika na shambulizi hilo. Aidha, Urusi imekana kuhusika na shambulizi hilo.
Mataifa makubwa yenye uwezo wa kimtandao yamekua yakishutumiana...
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Oct
Ujerumani yakana madai ya kutoa rushwa
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Israel yazidi kuishambulia Gaza
10 years ago
Habarileo15 May
“ Uhalifu wa kimtandao unaendelea kudhibitiwa”
SERIKALI imesema itaendelea kusimamia na kuhakikisha inawalinda wananchi wake kutokana na mashambulio na uhalifu wa kimtandao.
11 years ago
BBCSwahili11 Aug
Marekani kendelea kuishambulia Iraq
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Sababu za Al-Shabaab kuishambulia Kenya
11 years ago
BBCSwahili02 Aug
Israeli haitasita kuishambulia Gaza
11 years ago
Mwananchi21 Jul
CUF yalaani Israel kuishambulia Gaza
11 years ago
Mwananchi08 May
CCM ‘kuishambulia’ Ukawa kwa siku 26