Sababu za Al-Shabaab kuishambulia Kenya
Eneo la Afrika Mashariki liko katika taharuki kubwa kutokana na tetesi za kuwepo uwezekano wa kufanyika mashambulizi zaidi kutoka kwa kundi la Al Shabaab ambalo tayari limeleta maafa makubwa kwa wananchi wa Kenya.Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Al shabaab 13 wameuawa Kenya
Wapiganaji 13 wa kundi la Kiislamu la Al Shabaab wameuawa baada ya kushambulia kambi ya jeshi katika eneo la Lamu pwani ya Kenya
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
70 wahusishwa na Al Shabaab Kenya
Mahakama imesema watu hao waliokamatwa Msikiti Musa mjini Mombasa wana makosa ya kujibu baada ya kuhusishwa na Al Shabaab
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
Al Shabaab lakiri kushambulia Kenya
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia, limekiri kufanya mashambulizi katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu, Pwani ya Kenya.
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Al Shabaab 1 raia wa UK auawa Kenya
Utafiti wa DNA unatarajiwa kuthibitisha kuwa mmoja wa wapiganaji 11 wa Al shabaab waliouawa na wanajeshi wa Kenya ni raia wa UK
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Polisi 2 wauawa na Al-Shabaab Kenya
Watu 5 miongoni mwao maafisa wawili wa polisi wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu la kutegwa ardhini.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Mshukiwa wa Al shabaab akamatwa Kenya
Maafisa wa polisi nchini Kenya wanasema wamemnasa mshukiwa mkuu wa Al-Shabaab ambaye aliingia nchini humo kutafuta matibabu.
10 years ago
BBCSwahili23 Nov
Kenya yauwa al-Shabaab 100
Serikali ya Kenya yasema imewaandamana na kuwauwa al-Shabaab waliofanya shambulio Mandera
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Al Shabaab:Msamaha wa siku 10 Kenya
Serikali ya Kenya imetoa makataa ya siku 10 kwa wale wote waliojiunga na kundi la Al Shabaab kujitokeza na kusamehewa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania