Al Shabaab lakiri kushambulia Kenya
Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab nchini Somalia, limekiri kufanya mashambulizi katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu, Pwani ya Kenya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Al Shabaab lakiri kufanya shambulizi
Polisi nchini Kenya wanasema wapiganaji wa Al Shabaab wamewauwa kwa kuwapiga risasi zaidi ya abiria 28
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Al Shabaab lakiri kutekeleza shambulizi
Kundi la Al Shabaab nchini Somali limekiri kufanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya.
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Al Shabaab wadai kushambulia AU
Kundi hilo linasema kuwa limeshambulia msafara wa magari ya kikosi cha Muungano wa Afrika, karibu na mji mkuu Mogadishu na kuwaua wanajeshi 7
11 years ago
BBCSwahili28 May
Al Shabaab wakiri kushambulia Djibouti
Al Shabaab wamekiri kushambulia mgahawa unaotembelewa na wageni nchini Djibouti. Katika shambulio la awali watatu walikufa.
10 years ago
BBCSwahili22 Feb
Al Shabaab yatishia kushambulia Ulaya
Marekani yasema yazingatia vitisho vya Al Shabaab kulenga maduka ya Ulaya
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Tisho la Al-Shabaab kushambulia Ethiopia
Marekani imeonya kuwa wapiganaji wa Kiislamu wa Al shabaab wanapanga kufanya mashambulio katika mji mkuu wa Ethiopia Addis Ababa.
10 years ago
BBCSwahili14 Jun
Al shabaab 13 wameuawa Kenya
Wapiganaji 13 wa kundi la Kiislamu la Al Shabaab wameuawa baada ya kushambulia kambi ya jeshi katika eneo la Lamu pwani ya Kenya
11 years ago
BBCSwahili12 Feb
70 wahusishwa na Al Shabaab Kenya
Mahakama imesema watu hao waliokamatwa Msikiti Musa mjini Mombasa wana makosa ya kujibu baada ya kuhusishwa na Al Shabaab
10 years ago
Mwananchi11 Apr
Sababu za Al-Shabaab kuishambulia Kenya
Eneo la Afrika Mashariki liko katika taharuki kubwa kutokana na tetesi za kuwepo uwezekano wa kufanyika mashambulizi zaidi kutoka kwa kundi la Al Shabaab ambalo tayari limeleta maafa makubwa kwa wananchi wa Kenya.Â
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania