Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“ Uhalifu wa kimtandao unaendelea kudhibitiwa”

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal.SERIKALI imesema itaendelea kusimamia na kuhakikisha inawalinda wananchi wake kutokana na mashambulio na uhalifu wa kimtandao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi

 Polisi nchini wamekiri kuzidiwa ujanja na wahalifu baada ya kubadili mbinu katika kufanya uhalifu huo pamoja na kuongezeka kwa makosa makubwa na madogo yanayofanywa kwa njia ya mtandao.

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia na uhalifu Wizi wa kimtandao unavyoshamiri duniani

Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanalenga kufanya maisha ya binadamu duniani yawe rahisi zaidi.

 

5 years ago

Ykileo

URUSI YAKANA KUISHAMBULIA KIMTANDAO UJERUMANI



KWA UFUPI: Mifumo ya kimtandao katika baadhi ya wizara za serikali ya Ujerumani ilikumbwa na udukuzi uliopelekea kuibiwa kwa taarifa kadhaa huku baadhi ya vyombo vya habari vimeishutumu Urusi dhidi ya shambulizi hilo la kimtandao. Nae waziri wa Ujerumani wa maswala ya uchumi akieleza hawana uhakika kua Urusi imehusika na shambulizi hilo. Aidha, Urusi  imekana kuhusika na shambulizi hilo.

------------------------------------------


Mataifa makubwa yenye uwezo wa kimtandao yamekua yakishutumiana...

 

10 years ago

Ykileo

BAKI SALAMA KIMTANDAO UTUMIAPO SIMU ZA MKONONI

Watumiaji wa simu za mkononi wameendelea kukua  kadri siku zinavyo endelea na kumekua na maswali mengi jinsi gani mtu anaweza kubaki salama atumiapo simu za mkononi.

Hapa nitaangazia uhalifu mtandao unao ambatana na simu za mikononi na njia za matumizi salama ya simu za mkononi.
Nianze kuangazia uhalifu unaoweza kusababishwa na simu za mkononi.


Swapping:Huu ni uhalifu mtandao unao kua kwa kasi hivi sasa maeneo mbali mbali unaotoa fursa kwa mhalifu mtandao kuwa na matumizi ya simu ya mtu bila ya...

 

10 years ago

Ykileo

KATIKA KUELEKEA KUAPATA TAIFA SALAMA KIMTANDAO

Taarifa “INAYOSOMEKA HAPA” ilitolea ufafanuzi wa Nchi ya India inavyo pambana ili kuweza kufikia malengo katika kuboresha usalama mitandao hasa katika wizi unaofanywa kupitia ATM. Na baada ya kupata kutolea ufafanuzi muswada wa sharia mtandao, taarifa “INAYOSOMEKA HAPA”  Ilifafanua yamuhimu kuzingatia ili sheria hiyo iweze kupelekea kufikiwa kwa malengo kusudiwa ya kupata Tanzania salama kimtandao na kupunguza wimbi la makosa mtandao nchini.


Baada ya hayo nilipata kuhudhuria mikutano kadhaa...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMO WA MABASI BADO UNAENDELEA

Mabasi yakiwa yameegeshwa Kituo cha Mabasi Ubungo baada ya madereva kuwa katika mgomo wa kimasilahi Dar es Salaam jana na leo. Mgoma huo umefanyika nchi nzima ukihusisha na daladala hivyo kuleta adha kwa wananchi.Wananchi wakitembea maeneo ya Jangwani kutokana na mgomo huo.Wanafunzi na watu wengine wakitembea maeneo ya chuo cha maji Ubungo wakielekea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)Hali ilivyokuwa stendi ya Ubungo.Baadhi ya madereva, wapiga debe na makondakta wakikimbia huku wakiimba...

 

9 years ago

Michuzi

MAMBO 10 MUHIMU ILI SHERIA YA MAKOSA YA KIMTANDAO YASIKUKAMATE.

Sheria ya mitandao iliyoaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015.   1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao
2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao
3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadili kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Whatsapp, Facebook, YouTube, Instagram n.k)
4. Epuka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu unaendelea Burkina Faso

Wananchi wa Burkina Faso wanapiga kura leo kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza katika kipindi cha zaidi ya miongo miwli.

 

10 years ago

Dewji Blog

Maoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015

GO9G3451

Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya kupitishwa wabunge hupewa nafasi ya kuijadili na kufanya marekebisho pale penye mapungufu.  Baada ya kuipitia haraka haraka nimegundua baadhi ya vitu ambavyo naamini havijakaa sawa na nimejaribu kuelezea kwa chini yake. Ni matumaini yangu wabunge wetu wataipitia vizuri zaidi na kugundua mengi ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani