Teknolojia na uhalifu Wizi wa kimtandao unavyoshamiri duniani
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanalenga kufanya maisha ya binadamu duniani yawe rahisi zaidi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Uhalifu wa kimtandao waitesa Polisi
 Polisi nchini wamekiri kuzidiwa ujanja na wahalifu baada ya kubadili mbinu katika kufanya uhalifu huo pamoja na kuongezeka kwa makosa makubwa na madogo yanayofanywa kwa njia ya mtandao.
10 years ago
Habarileo15 May
“ Uhalifu wa kimtandao unaendelea kudhibitiwa”
SERIKALI imesema itaendelea kusimamia na kuhakikisha inawalinda wananchi wake kutokana na mashambulio na uhalifu wa kimtandao.
10 years ago
Mwananchi13 Sep
TEKNOLOJIA :Magari ya kifahari yanayotumiwa na polisi kuzuia uhalifu
Mara nyingi tumesikia na kuona magari ghali na ya kisasa yakitumiwa na watu mashuhuri, hasa wafanyabiashara wakubwam wasanii na wanamichezo.
11 years ago
Mwananchi14 Oct
Wizi wa mtandaoni: Uhalifu mpya unaotishia miamala ya fedha
Miaka mitano iliyopita uhalifu wa mtandaoni haukuwapo. Hakuna aliyefahamu madhara yake moja kwa moja, kwa kuwa matukio mengi yalikuwa yanatokea nchi za Ulaya na Marekani na kidogo Kenya.
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Wizi wa mtandao unavyozigharimu benki duniani
Zile nyakati za wizi wa kutumia bunduki, mapanga au visu sasa zimepitwa na wakati, badala yake, wahalifu sasa wanatumia njia ya mtandao.
10 years ago
MichuziWIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA MTANDAO TISHIO DUNIANI
11 years ago
Bongo516 Aug
Teknolojia: Ifahamu Smartphone ya kwanza duniani ‘IBM Simon’ inayotimiza miaka 20 (picha)
Naamini ni wengi wanaomiliki simu za kisasa ‘smartphones’ ambazo zinaendana na teknolojia ya sasa iliyozidi kurahisisha maisha ya mwanadamu kupitia simu hiyo ya kiganjani. Lakini yawezekana si wote ambao wanaifahamu ‘smartphone’ ya kwanza kuingia sokoni. Smartphone ni nini? Ni simu ya mkononi ambayo inauwezo wa kufanya mambo mengi yanayofanywa na kompyuta. Smartphone ya kwanza IBM […]
5 years ago
Ykileo
URUSI YAKANA KUISHAMBULIA KIMTANDAO UJERUMANI

KWA UFUPI: Mifumo ya kimtandao katika baadhi ya wizara za serikali ya Ujerumani ilikumbwa na udukuzi uliopelekea kuibiwa kwa taarifa kadhaa huku baadhi ya vyombo vya habari vimeishutumu Urusi dhidi ya shambulizi hilo la kimtandao. Nae waziri wa Ujerumani wa maswala ya uchumi akieleza hawana uhakika kua Urusi imehusika na shambulizi hilo. Aidha, Urusi imekana kuhusika na shambulizi hilo.------------------------------------------
Mataifa makubwa yenye uwezo wa kimtandao yamekua yakishutumiana...
10 years ago
Ykileo
BAKI SALAMA KIMTANDAO UTUMIAPO SIMU ZA MKONONI

Nianze kuangazia uhalifu unaoweza kusababishwa na simu za mkononi.
Swapping:Huu ni uhalifu mtandao unao kua kwa kasi hivi sasa maeneo mbali mbali unaotoa fursa kwa mhalifu mtandao kuwa na matumizi ya simu ya mtu bila ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania