Marema yainyemelea TanzaniteOne
Chama cha Wachimbaji Wadogo wa Madini cha Manyara (Marema) kimeitaka Serikali kukipa asilimia 50 ya hisa zake katika migodi ya TanzaniteOne iliyopo Mirerani na kuipongeza kampuni ya wazawa ya Sky Associates Group (LTD) kwa kununua asilimia nyingine 50 ya hisa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Marema wapinga kauli ya kamishna wa madini nchini
Siku chache baada ya naibu kamishna wa madini nchini kutoa tamko kuhusu utaratibu wa uchimbaji wa madini ya Tanzanite katika eneo la Mirerani mkoani Manyara, chama cha wachimbaji wadogo wa madini hayo kimepinga vikali tamko hilo kwa madai kwamba litaibua upya mgogoro katika eneo hilo.
Novemba 13 mwaka huu akiwa Jijini Arusha, kituo hiki kilimkariri naibu kamishna wa madini nchini mhandisi Ally Samaje akiwataka wachimbaji wote kuendesha uchimbaji wao kwa kufuata sheria.
Naibu huyo kamishana...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Hali tete TanzaniteOne
HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo
Paul Sarwatt
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
hali tete TanzaniteOne -2
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi
Paul Sarwatt
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
TanzaniteOne yapunguza wafanyakazi 600
HATIMAYE Kampuni ya TanzaniteOne inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya vito aina ya Tanzan
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi29 Oct
TanzaniteOne yachongewa kwa Kamati ya Bunge
9 years ago
Michuzi02 Dec
WAFANYAKAZI 600 WA TANZANITEONE KUACHISHWA KAZI
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/FUv-sx0ue7IePyNElS0LY3Dz7ahih4LKco5TQb5WN0ZYKoBxuFjumcIrWD6ARdAjF9dEpDODzeJpLP0k4M6Jk0CCo8_Jlyd8Ljv7C45gpEVauUGWQRKPaOlsHqQ_PclIJkG70Pg=s0-d-e1-ft#http://eps.mcgill.ca/~seg/old/images/activites/2006_tanzania/11_mineshaft.gif)
Wafanyakazi hao wamepewa likizo ya malipo kuanzia jana huku mchakato wa kuwaachisha kazi baadhi ya wafanyakazi ukiendelea kwa kuhusisha pande zote.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Iringa mjini, Meneja wa Kampuni hiyo, Apolinari Modest alisema kwa sasa uongozi wa kampuni hiyo tayari ulishafuata taratibu zote za kuachisha kazi...
10 years ago
TheCitizen27 Dec
Small miners group wants 50pc stake in TanzaniteOne
11 years ago
TheCitizen17 Jan
TanzaniteOne’s raises Sh6 billion for mining restart
10 years ago
Michuzi11 Feb