Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TanzaniteOne yachongewa kwa Kamati ya Bunge

Wachimbaji wadogo wa madini ya tanzanite katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro wameishtaki kampuni ya TanzaniteOne kwa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakidai kuwa imevamia na kupora baadhi ya migodi na zana za kufanyia kazi na kuharibu miundombinu yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AIASA KAMATI YA PAMOJA YA UENDESHAJI WA MGODI WA TANZANITEONE

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene ameiasa Kamati ya Pamoja ya Uendeshaji wa Mgodi wa TanzaniteOne, “Joint Operating Committee”-JOC kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa ili kuwanufaisha wadau wa Tanzanite katika uvunaji wa madini hayo, huku wakilinda maslahi ya mgodi huo kwa  Taifa.


 Simbachawene ametoa rai hiyo hivi karibuni wakati akizindua Kamati ya hiyo ya JOC, katika hafla iliyofanyika kwenye eneo la mgodi wa TanzaniteOne uliopo Mirerani, katika Wilaya ya Simanjiro...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kamati ya Bunge yataka mradi umalizike kwa wakati



                                                                                    NA WILLIAM SHECHAMBO, Morogoro Mwenyekiti, Prof. Msolwa (Mwenye shati jeupe)KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo, na Maji, imesisitiza kukamilika kwa mradi wa maji wa Ubena Zomozi, ulioko Chalinze mkoani Pwani katika muda uliopangwa. Imesema hatua hiyo itawapa unafuu wananchi wa vijiji kadhaa vya wilaya za Bagamoyo na baadhi ya maeneo ya Morogoro, kutokana na kukumbwa na shida ya maji kwa kipindi...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI KWA MWAKA 2019/2020



Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Salim Mwinyi Rehani (mwenye suti nyeusi) wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi hayupo pichani aliyekuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara ya mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Tujikumbushe mapendekezo ya kamati za Bunge maalumu yatakayovunja Muungano, changamoto kwa rais ajaye

Ni kweli kwamba Bunge Maalumu lilitumia muda mwingi baada ya kumaliza kanuni kujadili sura ya kwanza na sura ya sita na kujiridhisha kumaliza suala la muundo wa muungano. Uhalisia ni mbali kabisa na ukweli huu, ili kuujadili muundo wa muungano kama msingi ilipasa sura ya kwanza, sita na kumi na tano kusomwa na kujadiliwa kwa pamoja (in tandem).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani