Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marques de Morais: Mwandishi, mwanaharakati Angola

RAFAEL Marques de Morais ni raia wa Angola aliyejitokeza kuwa mwandishi wa habari mahiri wa habari za uchunguzi na mwanaharakati wa haki za binadamu.

Kutokana na harakati zake za  uandishi wa habari na kupigania haki za binadamu, mwandishi huyo aliyezaliwa mwaka 1971, amejipatia tuzo kadhaa za kimataifa.

Mapema mwaka huu alitunukiwa tuzo kwa kuandika mgogoro  wa ushwa katika Serikali, jambo lililowagusa watu walioshika mpini na kujikuta ameshikilia makali hivyo kudhurika.

Kwa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwandishi habari ashtakiwa Angola

Mwandishi habari mashuhuri amefikishwa mahakamani nchini Angola kwa madai ya kuwaharibia watu mashuhuri majina.

 

9 years ago

Bongo5

Chris Brown achukizwa na comment ya Marques Houston kwenye picha ya Karruache

Chris Brown anatamani Karrueche Tran aishi bila mwanaume mwingine katika maisha yake yote! Muimbaji huyo alitupia comment kwenye picha ya ex wake huyo kwenye Instagram baada ya msanii mwenzake, Marques Houston kusifia umbo la mrembo huyo. Tran aliweka picha hiyo akiwa na bikini tu pembeni ya bwawa la kuogelea ambayo ilimdatisha Houston aliyeigiza kwenye kipindi […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi

Mwaka 2005, Mandela alitangaza kuwa mtoto wake kijana alifariki kutokana na ugonjwa wa ukimwi na kuwataka watu kujizuia na ngono nzembe

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati wa kwanza DRC

Mapema miaka ya elfu moja na mia tisa, mmishionari Alice Seeley-Harris kutoka Uingereza alifanya kampeni ya kwanza kabisa kwa kutumia picha, ili kupambana na ukiukwaji wa haki za binaadam DRC

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati apigwa risasi Burundi

Mwanaharakati maarufu wa haki za kibinaadamu nchini Burundi ameigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na watu waliokuwa katika pikipiki kulingana na familia yake na watu walioshuhudia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati maarufu auawa Pakistan

Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Pakistan Sabeen Mehmud ameuawa kwa kupigwa risasi kwenye mji mkuu Karachi

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati wa Urusi aachiliwa huru

Mwanaharakati maarufu anayepinga ufisadi nchini Urusi Alexei Navalny ameachiliwa baada ya kuzuiliwa kwa siku 15 gerezani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Saratani:Mwanaharakati ajifunga nyororo

Asema serikali na jamii kwa jumla inapaswa kutoa raslimali zilizopo kununua vifaa vya tiba kwa wagonjwa ambao wanangojea tiba hadi mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati anayejifanya mtu mweusi

Wazazi wa mwanaharakati mmoja wa haki za raia nchini Marekani wamesema kuwa anajifanya kuwa mtu mweusi kwa miaka kadhaa sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani