Marubani wa India wazikunja kisa?
Marubani wa shirika la ndege la India watwangana,mmoja alimpa majukumu msaidizi wake, msaidizi akamuwakia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Jan
Kuna uhaba wa wakaguzi wa marubani
KADA ya ukaguzi wa marubani wa ndege inakabiliwa na upungufu wa watumishi 12, jambo ambalo linaathiri ufanisi katika eneo hilo.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
TCAA yaajiri wakaguzi wa marubani
KATIKA kukabiliana na uhaba wa wakaguzi wa marubani wa ndege, Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imeajiri wataalamu watatu wa kada hiyo kwa mwaka 2013. Akizungumza na Tanzania Daima juzi,...
11 years ago
Habarileo28 Mar
Serikali kutatua matatizo ya marubani
SERIKALI imesema imejipanga kuhakikisha inatatua matatizo yanayowakabili marubani wa kitanzania ikiwa ni pamoja na upendeleo wa ajira kwa marubani wa kigeni na uwazi katika mitihani ya marubani.
9 years ago
Mwananchi02 Oct
Ndege ya JWTZ yaanguka, marubani wapotea
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Manongi akishauri Chama cha Marubani
CHAMA cha Marubani nchini kimeshauriwa kujikita kwenye misingi ya uanzishwaji wake badala ya kufanya kazi za wanaharakati. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka...
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Mashambulizi ya Yemen yawapa tuzo marubani
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Marubani wazawa na kilio cha ajira
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
TCAA yatamanisha wengi kuwa marubani
USAFIRI wa anga ni miongoni mwa sekta muhimu kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote duniani. Kwa kuliona hilo, Serikali ya Tanzania ilianzisha Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) kwa...
9 years ago
Habarileo02 Oct
Ndege JWTZ yaangukia baharini, marubani wapotea
MARUBANI wawili wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wanahofiwa kufa maji baada ya ndege yao ya mazoezi, kuangukia katika mwambao wa Bahari ya Hindi eneo la Visiwa vya Mbudya, Kaskazini Mashariki mwa Jiji la Dar es Salaam.