Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masanduku ya kura, kiboko ya vyama vikongwe

Makala haya yanaakisi nini mtizamo wangu kuhusu masuala ya vijana na amani. Binafsi naamini kuwa wanasiasa hawapaswi kuwatumia vijana vibaya kwa sababu vijana wetu wengi hawana elimu, hawajui lolote na wanaburuzika kirahisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo

HABARI NJEMA…. Tumepokea taarifa kutoka Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera muda huu saa 4.15 usiku.. Masanduku 3,470 yamekamatwa kwenye magari ya serikali (TANROADS) Yakiwa na jumla ya kura 1,600,00 za Magufuli. Vijana wamekubaliana walale vituoni […]

The post Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mtanzania

Marufuku kusafirisha masanduku ya kura

Damian Lubuva_NEC2*Tume yasema matokeo yatatangazwa vituoni

*Fomu ya matokeo ya urais kuskaniwa jimboni

NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo na ni marufuku kusafirisha masanduku ya kura kama ilivyokuwa zamani.

Jaji Lubuva aiyasema hayo Dar es Salaam jana katika mkutano na wawakilishi wa walemavu   kujadili namna bora...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Mahanga: Sikuiba masanduku ya kura 2010

Watanzania walio wengi bado wanaukumbuka Uchaguzi Mkuu Mwaka 2010 kwa sababu mbalimbali.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE

Wednesday, September 30, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva, amesema kura zote za urais, ubunge na udiwani, zitahesabiwa katika vituo vya kupigia kura na matokeo yote kutangazwa hapo hapo […]

The post Ni Marufuku Kusafirisha Masanduku ya Kura……Tume Yasisitiza Matokeo Yatatangazwa Vituoni, Fomu za Urais Kuskaniwa Jimboni na Kutangazwa LIVE appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA APIGA KURA

Wanannchi wakihakiki majina yao katika kituo chao cha kupigia kura.Jaji Mutungi akiwa kwenye chumba cha kupiga kura.KWA PICHA ZIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Habarileo

NEC yavitoa hofu vyama wizi wa kura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitoa wasiwasi vyama vya siasa kuwa hakutakuwepo na wizi na udanganyifu wa kura katika matokeo ya uchagauzi wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika nchini kote Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC

>Vyama vya siasa nchini vimeibana Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), wakitaka iweke wazi kama itaweza kukamilisha mchakato wa uandikishaji Daftari la Wapiga kura kabla ya Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyama vya CCM, CUF wavutana kura ya maoni Zanzibar

Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kitafanya kampeni maalumu kuhakikisha kura ya maoni ya Katiba ya Muungano inashinda Zanzibar, Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kinajipanga kufanya kampeni nzito kupinga rasimu hiyo.

 

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MBEYA LAPIGA MARUFUKU KWENDA KUPIGA KURA UKIWA UMEVAA SARE ZA VYAMA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya


Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa rai kwa wafuasi wa vyama vishiriki katika uchaguzi mkuu Octoba 25 mwaka huu kujiepusha kufika katika kituo cha kupigia kura wakiwa wamevaa nguo zenye picha za wagombea, maneno au nembo ama rangi za chama cha siasa.

Aidha wametakiwa , kuepuka kutumia uvumi, maneno ya uongo, hisia au visingizio vyenye lengo la kuwazuia wengine kwenda kupiga kura.
Pia amewataka  kuepuka kufanya kampeni katika kituo cha kupigia kura iwe kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani