MASAUNI AWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto), baada ya kuwasili mkoani Kagera leo kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoani Kagera wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia),wakati wa kikao cha ndani kilichohusu masuala ya Ulinzi na Usalama.Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AWASILI MKOANI MANYARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, leo 02/03/2020 wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, Paul Kasabago, wakati akipokelewa na mwenyeji wake kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo leo 02/03/2020.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro,...
5 years ago
CCM Blog15 Jun
NGEMELA LUBINGA AWASILI MKOANI GEITA KWA ZIARA YA KIKAZI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu Ngemela Lubinga amewasili Mkoani Geita na kupokelewa na Viongozi wa Chama na Serikali.
Aidha amekutana na Viongozi wa kamati ya Siasa ya Mkoa na kupokea taarifa mbali mbali zinazohusiana na Mkoa huo.
Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa Geita Mheshimiwa Eng.Robert Gabriel amewasilisha taarifa ya miradi mbalimbali kama...
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU ATARAJIWA KUWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri mkuu wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili mkoani humo kwa ziara ya siku mbili kwa ajili ya shughuli za kiserikali pamoja na za chama cha mapinduzi CCM.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti katika kikao na waandishi wa habari katika ofisi za mkoa huo.
Akitoa taarifa za ujio wa Waziri mkuu , mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amesema waziri Majaliwa...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI AWASILI MKOANI RUKWA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU, AAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VITEULE VYA JESHI VYA KIRANDO NA KASANGA MKOANI RUKWA
10 years ago
MichuziJAJI MKUU AWASILI MKOANI TABORA KATIKA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (Arabian Gulf) na bara la Afrika.
Vile vile Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza fursa za uwekezaji nchini Tanzania,...
5 years ago
MichuziWAZIRI SIMBACHAWENE AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati) akizungumza na Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohamed...
5 years ago
MichuziDKT. BASHIRU AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya siku tatu.
Dkt. Bashiru amewasili asubuhi ya leo tarehe 21 Februari, 2020 uwanja wa ndege wa Mtwara mjini na kupokelewa na mamia ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa CCM.
Katibu Mkuu atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya za Mtwara Vijijini na Masasi na kuzindua mashina ya wakereketwa wa CCM ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa maagizo ya Halmashauri Kuu ya CCM ya...