Masauni:Tumedhibiti Matukio ya Uporaji Fedha
![](https://1.bp.blogspot.com/-raGU42RNGbA/XlejqJxM1FI/AAAAAAALfpo/E_dxh_mgXOc-UG_4vewqjVmRhF3oTObQwCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Serikali imesema imefanikiwa kudhibiti matukio ya uporwaji fedha kwa wafanyabiashara na wawekezaji huku ikiwa na mkakati maalumu wa kuhakikisha wawekezaji na wafanyabiashara wanafanya shughuli zao za maendeleo kwa amani na utulivu pasina shaka yoyote.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati akizungumza katika mkutano wa mashauriano ulioandaliwa na Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki ukiwaalika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Wauaji wa Ubungo wahukumiwa kunyongwa - Ni wale waliohusishwa na uporaji wa fedha za NMB
![Jaji Mkuu Othman Chande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Jaji-Chande1.jpg)
Jaji Mkuu Othman Chande
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam,
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa sita katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, maarufu kama mauaji ya Ubungo Mataa.
Washtakiwa hao waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa jana na Jaji Projest Rugazia ni Haji Kiweru, Mashaka Pastory, Wycliff Imbora, John Mndasha, Martine Mndasha na Rashidi Abdikadir.
Jaji Rugazia...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Tumedhibiti ujambazi, lakini mitaani hapakaliki
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
11 wauawa Brazil katika uporaji
11 years ago
Mwananchi02 Apr
Shahidi aeleza alivyoshuhudia uporaji Mwanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2xPSDbl5pyjq7euVEEsjSu0LmIlLqw7O65rmBTQWa3eHbqXcKE*Dag3tnmvk1Taz0Pd9hManwLFsgv6KD5NHTJJNpO*iM4sJ/CHAGONJA.jpg?width=650)
NIMESHTUSHWA; CHAGONJA KUHUSISHWA NA UPORAJI SILAHA
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
CHADEMA: Uwekezaji umegubikwa na uporaji rasilimali
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kutokana na uongozi mbovu na sera zisizomlinda Mtanzania, uwekezaji katika madini umegubikwa na uporaji mkubwa wa rasilimali na tayari nchi imeanza kuachiwa mashimo....
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Jina la Rais latumika uporaji ardhi
WATUMISHI wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo wanalalamikiwa na wananchi katika wilaya hiyo kwa kile kinachodaiwa kupanga njama za kutaka kupora ardhi ya vikongwe kwa madai kuwa eneo hilo...
11 years ago
Habarileo03 Jun
Aliyeuawa katika uporaji Arusha ni mstaafu
ALIYEUAWA katika tukio la uporaji wa Sh milioni 20 kutoka kwa mtumishi wa duka la kubadilishia fedha za kigeni la Northern Bureau de Change, ametambuliwa kuwa ni mwalimu mstaafu wa jijini Arusha, Benedict Mmasi.