Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tumedhibiti ujambazi, lakini mitaani hapakaliki

Kama kuna jambo ambalo wananchi wengi wanakubaliana ni ukweli kwamba vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kushirikiana na raia wema vimefanikiwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa vitendo vya ujambazi wa kutisha, kwa maana ya kudhibiti mtandao wa uhalifu mkubwa wa wizi wa kutumia silaha katika benki na kampuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Masauni:Tumedhibiti Matukio ya Uporaji Fedha

Serikali imesema imefanikiwa kudhibiti matukio ya uporwaji fedha kwa wafanyabiashara na wawekezaji huku ikiwa na mkakati maalumu wa kuhakikisha wawekezaji na wafanyabiashara wanafanya shughuli zao za maendeleo kwa amani na utulivu pasina shaka yoyote.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati akizungumza katika mkutano wa mashauriano ulioandaliwa na Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki ukiwaalika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL Dodoma hapakaliki

KASHFA ya kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeibuka bungeni na kuibua mjadala mzito. Hali hiyo ilitokea jana baada ya Mbunge wa...

 

11 years ago

GPL

MAUAJI YA KIGOGO WA CCM, MWANZA HAPAKALIKI

Na Mwandishi Wetu, Mwanza
BAADA  ya  mauaji ya Diwani wa Kata ya Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clement Mabina (pichani) yaliyotokea Desemba 15, mwaka huu, Jiji la  Mwanza limekuwa  la moto, baadhi ya watu wana hofu, wengine kukimbia makazi yao kutokana na msako mkali wa polisi kuwanasa watuhumiwa. Mwili wa Mabina baada ya kushambuliwa. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa jijini hapa, hali imekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtuhumiwa wa ujambazi auawa

MTU anayetuhumiwa kuwa jambazi sugu mkazi wa Kitongoji cha Chanji, mjini Sumbawanga, amekufa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali. Mtuhumiwa huyo Denis Gagala maarufu kama ’Babyloon’ (31) anadaiwa kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi waua watuhumiwa wa ujambazi

WATUHUMIWA wawili wa ujambazi wameuawa jijini Dar es Dalaam na wananchi katika jaribio la kufanya tukio la uporaji katika eneo la benki ya NMB Wilaya ya Ilala.

 

9 years ago

Habarileo

Watuhumiwa 4 wa ujambazi watiwa mbaroni

POLISI mkoani Katavi inawashikilia watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokamatwa wakiwa na bunduki mbili aina ya SMG zilizokuwa na risasi 40 za moto.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujambazi mpya waibuka Arusha

JIJI la Arusha limekumbwa na taharuki baada ya kuibuka kwa matukio ya wanawake wanaoendesha magari kuvamiwa na kupigwa risasi na watu wasiofahamika ambao hutoweka bila kuchukua chochote. Hadi sasa, wanawake...

 

10 years ago

CloudsFM

MCHINA MBARONI KWA UJAMBAZI

Jeshi la Polisi linawashikilia watu watano kwa tuhuma za ujambazi, akiwamo raia mmoja wa China.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watu hao walikamatwa na bastola aina ya shortgun na risasi 98.

Alisema kati ya watu ambao inadaiwa walikuwa wakifanya ujambazi juzi wilayani Mkuranga, kulikuwa na Wachina watatu, lakini wawili walikimbia baada ya polisi kufika eneo la tukio.

Kamanda Matei alidai kuwa Mchina huyo na wenzake walimteka na kumfunga kitambaa usoni raia mmoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani