MAUAJI YA KIGOGO WA CCM, MWANZA HAPAKALIKI
![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPzp7pSszOTUWiPpY79luvz9h7qidIzuIN8VOaRLJzqkU9m3HaOdBQWs5JW*nmYr*WuPXEKBICQCYrM*7f55HIH6/MABINA.jpg?width=550)
Na Mwandishi Wetu, Mwanza BAADA ya mauaji ya Diwani wa Kata ya Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clement Mabina (pichani) yaliyotokea Desemba 15, mwaka huu, Jiji la Mwanza limekuwa la moto, baadhi ya watu wana hofu, wengine kukimbia makazi yao kutokana na msako mkali wa polisi kuwanasa watuhumiwa. Mwili wa Mabina baada ya kushambuliwa. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa jijini hapa, hali imekuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
KIGOGO CCM AUAWA JIJINI MWANZA
9 years ago
Mwananchi16 Nov
Wanne mbaroni mauaji ya kigogo Chadema
10 years ago
Mtanzania02 Mar
Kigogo mbaroni kwa mauaji ya albino
NA PETER FABIAN, MWANZA
KIONGOZI wa chama kimoja cha siasa mkoani Mwanza (jina tunalo) anashikiliwa na Jeshi la Polisi akihusishwa na uhalifu wa utengenezaji wa noti bandia, utekaji na mauaji ya albino katika maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa.
Habari za uhakika zilizolifikia MTANZANIA kutoka vyanzo vyetu vya habari zimesema kuwa kigogo huyo alikamatwa wilayani Magu Februari 26, mwaka huu saa 7:00 usiku.
Kigogo huyo ambaye anadaiwa kuhusishwa na utekaji wa mauaji ya albino alikamatwa baada...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Kigogo CCM lawamani Geita
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma, amelaumiwa akidaiwa kuingilia maamuzi yanayofikiwa na Baraza la Madiwani, likiwemo la ujenzi wa choo. Kutokana na shutuma hizo, baadhi...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Kigogo CCM afia mkutanoni
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-gQnfxOicahE/XoiolVvnyPI/AAAAAAABnCA/V0W6x-fe8F4g8a1lDWO24plYQa4luco2gCLcBGAsYHQ/s72-c/pic%252Bchadema%252Btarime.jpg)
KIGOGO WA CHADEMA NA WENZAKE 50 WATIMKIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-gQnfxOicahE/XoiolVvnyPI/AAAAAAABnCA/V0W6x-fe8F4g8a1lDWO24plYQa4luco2gCLcBGAsYHQ/s640/pic%252Bchadema%252Btarime.jpg)
Joseph na wenzake wamejiunga na CCM leo Jumamosi Aprili 4, 2020 katika ofisi za chama hicho Tarime na kupokelewa na naibu waziri wa Tamisemi, Mwita Waitara.
Wilaya ya Tarime ina majimbo mawili yanayoongozwa na Chadema ambayo ni Tarime Mjini linaloongozwa na Esther Matiko na Tarime Vijijini...
10 years ago
GPLKIGOGO CCM AANGUA KILIO HADHARANI!
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mangula ampeleka jela kigogo CCM
ZIARA ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, Philip Mangula mkoani Kigoma, imemponza Katibu Mwenezi wa chama hicho Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, Majaliwa Zuberi na kujikuta akitupwa...