Mashabiki Msikate Tamaa – Yusuph Manji
Mwenyekiti wa klabu ya Dar Young Africans, Yanga, Bw.Yusuph Manji, amewataka mashabiki wa timu hiyo kutosononeka sana kwa kipigo cha mabao 4-0 yaliyosababisha kutolewa kwenye michuano ya kimataifa Na MC Algeria.
Bw. Manji akiongea na mtandao wa Goal, amesema, anachotaka ni kuhakikisha timu hiyo inapambana kutafuta nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa mwakani kwa kubeba taji la ligi kuu ya Vodacom au ubingwa wa kombe la FA.
“Niliongea na timu yetu kabla ya kwenda Algeria na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Jun
Pinda- Madaktari msikate tamaa
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari bingwa wa uzazi na magonjwa ya wanawake kutokata tamaa kuhudumia wajawazito.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-UnkOEgbFAnQ/VKUVnIPjk_I/AAAAAAAAl2Q/N1-g5UJPvMg/s72-c/lemutuz....jpg)
Lemutuz Afunguka 'Najua Kwamba Mabebez Wengi Mnapigwa na Mamen Wenu Kwasababu Yangu...Msikate Tamaa The Day is Coming'
![](http://4.bp.blogspot.com/-UnkOEgbFAnQ/VKUVnIPjk_I/AAAAAAAAl2Q/N1-g5UJPvMg/s1600/lemutuz....jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-X8KhJBDmeFo/Vfx6tZIW6LI/AAAAAAAH590/XtHlSu0lxrI/s72-c/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
YUSUPH MANJI AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA VIONGOZI WA BIASHARA AFRIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-X8KhJBDmeFo/Vfx6tZIW6LI/AAAAAAAH590/XtHlSu0lxrI/s640/unnamed%2B%252830%2529.jpg)
MWENYEKITI wa Makampuni ya Quality Group Limited, Yusuph Manji (PICHANI) amenyakua tuzo ya kielelezo cha viongozi wa biashara wa Afrika kwa mwaka 2015.
Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Klabu ya soka ya Yanga, aliwapiku wafanyabiashara wengine wakubwa akiwemo bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na uongozi Quality Group, ilisema tuzo hiyo ilimshtua 'bosi' wao kwani hakutarajia na kwamba itasaidia kuvutia wawekezaji pamoja na kuongeza idadi ya...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Diwani Yusuph Manji alivyowadondoshea burudani watu wake Mbagala… (+Picha)
Kwenye watu wazito walioamua kuingia kwenye siasa, mfanyabiashara Yusuph Manji pamoja na Mkurugenzi wa Mkubwa na Wanawe, Mkubwa Fella ambaye ni Diwani wa kata ya Kilungule nao waliamua kuthubutu upande huu wa pili wa siasa. Leo December 31 2015 Diwani Manji alikutana na watu wake wa Mbagala kwa ajili ya kuwashukuru kabla haujaisha mwaka 2015 […]
The post Diwani Yusuph Manji alivyowadondoshea burudani watu wake Mbagala… (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo28 Dec
Kerr ataka mashabiki wasikate tamaa
KOCHA Mkuu wa Simba Dylan Kerr amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa na matokeo ya sare na kwamba timu yake itakaa sawa katika mechi zijazo. Simba juzi ilipata sare ya tatu baada ya ile dhidi ya Azam na dhidi ya Toto African ya Mwanza kwa kutoka sare ya bao 1-1 na Mwadui ya Shinyanga.
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…
YUSUPH Mlela ni msanii maarufu wa filamu nchini aliyeweza kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.
Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wameweza kutunza heshima yao tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.
Raia Tanzania imezungumza na Mlela ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:
Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Kunani Mzee Yusuph na Khadija Kopa?
NA THERESIA GASPER
MANENO ya kujitamba aliyokuwa akiyatoa mwimbaji wa taarabu, Mzee Yusuph kila mara alipokwenda kupokea tuzo usiku wa juzi, yamewapa wasiwasi wadau wa muziki huo wakihoji kwanini ameonyesha kuwadharau baadhi ya waimbaji wenzake wa muziki huo.
Mwimbaji anayedaiwa kuelekezewa maneno hayo ni mkongwe wa siku nyingi, Khadija Kopa ambaye alishadai kwamba aliwahi kuonyesha njia ya kutaka kushirikiana na mwenzake huyo lakini ameonekana kumkwepa bila sababu za msingi.
Wakati Mzee...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/AYlwAMrKUQg/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Hii ndiyo siri yangu-Mzee Yusuph