Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashahidi wanne kumkabili Mbasha

KESI ya kubaka inayomkabili mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32), inatarajiwa kusikilizwa Agosti 22, mwaka huu, baada ya upelelezi kukamilika.. Hatua hiyo inakuja baada ya mshitakiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Tanzania Daima

Tutahama tukilipwa fidia — Mashahidi

WANANCHI 43 wa vijiji vya Kiding’a, Moivo, Kirevi, Sambasha na Kiranyi, wilayani Arumeru wamesema wapo tayari kupisha ujenzi wa barabara ya Mianzini hadi Timbolo yenye umbali wa kilomita nane endapo...

 

11 years ago

Mwananchi

Mashahidi wazidi kumbana Ekelege

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Profesa Apolonaria Tereke ameiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuwa aliyekukwa Mkurugenzi wa shirika hilo, Charles Ekelege alikuwa akitoa misamaha ya tozo bila ridhaa ya bodi ya wakurugenzi wa shirika hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

ICC kushurutisha mashahidi kutoa ushahidi

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC, inawataka mashahidi waliokataa kutoa ushahidi katika kesi dhidi ya naibu rais wa Kenya William Ruto kutoa ushahidi huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC:Yebei alikuwa akiwahonga mashahidi

Mtu aliyepatikana amefariki nchini Kenya na ambaye alihusishwa na kesi ya naibu rais wa Kenya William alikuwa akiwahonga mashahidi

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya 2 ICC kwa kuhonga mashahidi

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC imechapisha waranti ya kuwakamata wakenya wawili wanaotuhumiwa kutoa rushwa ili kuwashawishi mashahidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashahidi zaidi kumtetea Oscar Pistorius

Jopo la utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius limeitisha mashahidi zaidi

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius:Mashahidi walikataa kutoa ushahidi

Baadhi ya mashahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, walikataa kutoa ushahidi kwa hofu ya kuonekana hadharani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani