Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masharti ya kusafiri nje haya hapa

Ofisi ya Rais imesambaza mwongozo unaoweka masharti ambayo watumishi wa umma wanaotaka kusafiri nje ya nchi watatakiwa kutimiza ili wapewe kibali, ikiwa ni mkakati wa kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kudhibiti safari holela za nje.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Kala Jeremiah adai nyimbo zake haziitaji kusafiri nje kufanya video

Rapper Kala Jeremiah amesema kuwa nyimbo anazofanya haziitaji kusafiri kwenda nje ili kufanya video. Kala ameiambia Bongo5 kuwa, nyimbo zake zinazungumzia matatizo ya kijamii hivyo zinahitaji mazingira ya nyumbani. “Sifikirii kwenda nje,” amesema. “Unajua aina ya nyimbo ninazofanya – Kala Jeremiah anafanya nyimbo zinazowahusu watanzania zaidi, zinahitaji location za kitanzania na uhalisia wa kitanzania. Unajikuta […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Virus via corona: Italia kulegeza masharti ya usafiri na marufuku ya kutotoka nje

Uamuzi wa kulegeza masharti ya kutotoka nje unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.

 

5 years ago

CCM Blog

ITALIA KAMA TANZANIA, YAANZA KULEGEZA MASHARTI YA USAFIRI NA MARUFUKU YA KUTOTOKA NJE


italiaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESSerikali ya Italia imeweka saini amri itakayoruhusu usafiri wa kuingia na kutoka nchini humo kuanzia Juni 3, inapojiandaa kulegeza marufuku ya kutotoka nje iliyowekwa kukabiliana na kuenea kwa virusi vya corona.Taifa hilo pia litaruhusu usafiri kati ya maeneo - ambayo kulikuwa kumedhibitiwa kuanzia siku hiyo.Uamuzi huo unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.Italia ina moja ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makubaliano ya JK na ukawa ni haya hapa

john-cheyo

Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo.

.katiba ya zamani kufanyiwa marekebisho

.Ni kuruhusu tume huru na mgombea binafsi

.Ni makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa

Na Lukwangule Blog

KATIBA inayotumika sasa ya mwaka 1977 itafanyiwa marekebisho muhimu kupisha uchaguzi mkuu ujao, na Rais ajaye ataamua hatima ya katiba mpya ya Tanzania.

Hayo yametamkwa leo na Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo akizungumza na waandishi wa habari .

Kwa matamko ya Cheyo mchakato wa kuandika katiba umesitishwa.

Cheyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Makapi Aliyosema Mh. Kinana Haya Hapa


“Nchi yetu inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na wagombea na makapi, sasa kati ya mgombea na makapi nani mshindi? - Kinana 04/08/2015

Wadau kutokana na kauli ya Mh Kinana aliyoitoa wakati akihutubia wanaCCM waliofika Lumumba kumsindikiza Mh Dr John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya uraisi wa JMT, alimaanisha kwamba kila aliyetia nia ya uongozi CCM na hakupata fursa hiyo ni makapi. Nijuavyo makapi ni mabaki yeyote baada ya mchujo/mchakato.

Katika mchakato ule kulikuwa na watia nia 42 na baadae 38...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 HAYA HAPA


 BOFYA LINK HII KUONA NA KUSOMA MATOKEO  YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 .

 

10 years ago

Bongo Movies

Majina ya Wanaowania Tuzo za Filamu Mwaka 2015 Haya Hapa

Waandaaji wa tuzo kubwa kufanyika za filamu Tanzania Film Awards 2015 (TAFA) yametajwa rasmi na tayari kwa kupigiwa kura baada ya namba za majina hayo kutoka katika ukumbi wa Hotel ya New Africa,  mmoja kati  ya waratibu wa tuzo hizo Teacher Issa Mbura alieleza kuwa tuzo hizo zitakuwa na vipengele kumi na mbili tu, na baadae kulingana na mahitaji vinaweza kuongezeka kwa miaka ijayo.

Majina ya wanaowania tuzo hizo hayo hapo chini fuatilia na kwa makini kisha jiandae kumpigia kura msanii wako...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani