Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya Mtemvu CUP yaliyofikia tamati viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam jana. Timu zilizoingia ingia fainali hiyo ni Miburani Kata ya 15 na Kata ya 14 ambayo iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0.Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Genius Cup ya shule za Feza yafikia tamati Dar

MASHINDANO ya Genius Cup 2014 yamefikia tamati mkoani Dar es Salaam kwa kupata washindi watatu bora, baada ya kufanya mitihani ya Sayansi na Hisabati, ikilenga kutoa fursa kwa wanafunzi kupenda...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Makalla Cup yafika tamati wilayani Mvomero

Fainali za michezo mpira wa miguu kutafuta bingwa wa wilaya ya Mvomero zinazokwenda kwa jina la Makalla Cup zimehitimishwa jana kwa mamia ya watazamaji kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kialawa, Kijiji cha Bwagala ambapo ulizikutanisha katika Fainali Timu ya Koloni ya Bwagala na timu ya Mkuyuni ya Mlali na hatimaye ubingwa wa Makalla Cup ulikwenda kwa Timu ya Koloni kwa kuifunga Mkuyuni mabao 2-1.
Mgeni rasmi na mdhamini wa Mashindano hayo ya Makalla Cup alikuwa Mbunge wa Mvomero na...

 

5 years ago

CCM Blog

MANCHESTER CITY YAIBUKA KIDEDEA CORABAO CUP KWA KUICHAPA ASTON VILLA 2-1


Dakika 90 za Mchezo  Kati ya Manchester City  na Aston Villa kwenye Uwanja wa Wembley  zimemalizika ....Manchester City Wamebeba Ubingwa wa Carabao Cup kwa msimu wa tatu mfululizo baada ya kuichapa Aston Villa 2-1


Hata hivyo, Mtanzania Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Tanzania kuifunga goli Manchester City  na amekuwa mchezaji wa tano kutoka Bara la Afrika kufunga kwenye Kombe la Ligi, wengine ni Didier Drogba , Joseph-Désiré Job, Obafemi Martins na Yaya...

 

10 years ago

Michuzi

NYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP, DAR

Aliyekuwa Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya  Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali  ya kwanza ya Mtemvu Cup katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam  Mtoni ilishinda mabao 4-3.  Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akisalimia mmoja wa kiongozi wa timu hizo baada ya aliyekuwa  Makamu wakwanza Rais wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan kukagua timu zizo Dar...

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAMALIZIKA,TIMU YA KIBOSHO KINDI YAIBUKA MABINGWA

Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema)akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015. 
Meza kuu wakifurahi mara baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga cha mwisho ambapo timu ya Kibosho Kindi iliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1.
Mchezo ukiendelea.
Mashabiki wa timu ya soka ya Kibosho Kindi wakifurahia ushindi huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri. Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu akishiriki kubeba nyoka na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Hisia wakati wa...

 

10 years ago

GPL

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAZINDULIWA RASMI VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR‏

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam jana jioni. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.  Mbunge wa Temeke, Abbas Abbas Mtemvu...

 

11 years ago

Michuzi

Mashindano ya Diwani Cup kata ya Mutuka yazinduliwa huko Mkoani Manyara

Diwani wa Kata ya Mutuka, Wilayani Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao (wa pili kushoto) akizungumza  na wachezaji wa timu za soka za Mutuka FC na Chem Chem FC wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Kombe la Diwani huyo.kushoto ni Mwenyekit wa halmashauri ya Mji wa Babati, Mohamed Omary Farah.(picha woinde shizza,Manyara)
Diwani wa Kata ya Mutuka Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Mwalimu Yona Wao amezindua mashindano ya soka kwenye kata yake itakayoshirikisha timu tano za vijiji vilivyopo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani