Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Genius Cup ya shule za Feza yafikia tamati Dar

MASHINDANO ya Genius Cup 2014 yamefikia tamati mkoani Dar es Salaam kwa kupata washindi watatu bora, baada ya kufanya mitihani ya Sayansi na Hisabati, ikilenga kutoa fursa kwa wanafunzi kupenda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MASHINDANO YA MTEMVU CUP YAFIKIA TAMATI, KATA YA 14 YAIBUKA KIDEDEA

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala (kulia) aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali za mashindano ya Mtemvu CUP yaliyofikia tamati viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam jana. Timu zilizoingia ingia fainali hiyo ni Miburani Kata ya 15 na Kata ya 14 ambayo iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0.Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwa na Waziri wa Habari  Vijana Utamaduni na Michezo, Dk.Fenellah Mukangala...

 

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi Feza Schools washinda kimataifa 'Genius Olympiad'

Mwanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Fedha mwaka 11, Khalfan Kikwete (kulia) ambaye alishinda medali ya dhahabu pamoja na mwenzake Seif Yahya Mhata wakizungumza na waandishi wa habari. Mwanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Fedha mwaka 11, Khalfan Kikwete (kulia) ambaye alishinda medali ya dhahabu pamoja na mwenzake Seif Yahya Mhata wakizungumza na waandishi wa habari.Mwanafunzi Veronica Samuel Ndomba akielezea (kulia) katika picha na abendera ya nchi yake mara baada ya ushindi katika mashindano ya Genius Olympiad hivi karibuni. Mwanafunzi Veronica Samuel Ndomba akielezea (kulia) katika picha na bendera ya nchi yake mara baada ya ushindi katika mashindano ya Genius Olympiad hivi karibuni.Picha ya Mwanafunzi Prince Mwemezi Muzamil Katunzi aliyoipiga na kushinda katika mashindano ya Genius Olympiad. Picha ya Mwanafunzi Prince Mwemezi Muzamil Katunzi aliyoipiga na kushinda katika mashindano ya Genius Olympiad.Wanafunzi wa Shule za Feza Tanzania walioshinda mashindano ya taaluma kimataifa ya 'Genius Olympiad' katika picha ya pamoja na baadhi ya walimu wao.Wanafunzi wa Shule za Feza Tanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kliniki ARS yafikia tamati

KLINIKI ya siku tano ya kimataifa ya Airtel Rising Stars (ARS), imefikia tamati jana, huku washiriki wakiwa na shauku kubwa ya kutumia ujuzi waliopata kwa kuwa nyota wa soka kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI GENIUS KING’S JIJINI DAR

Wahitimu wa darasa la saba Fredrick Robert (kulia) na Rania Hante kutoka shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam wakisoma risala yao kwa Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo. Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga...

 

10 years ago

StarTV

VPL yafikia tamati, Polisi Moro na Ruvu Shooting zashuka daraja.

PAZIA la Ligi Kuu ya Tanzania Bara limehitimishwa leo kwenye viwanja saba tofauti na kushuhudiwa timu mbili  zinazomilikiwa na majeshi Ruvu Shooting na Polisi Moro zikishuka daraja.

Ruvu inayonolewa na kocha, Tom Olaba ilikuwa ugenini Uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga na kujikuta ikipokea kipigo cha bao 1-0 na wenyeji wao Stand United ambayo ushindi huo umeifanya kufikisha pointi 31 katika nafasi ya 10.

Polisi Moro iliyopanda kucheza Ligi Kuu msimu huu, ilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Kampeni ya Uchangiaji damu iliyoendeshwa na Diwani wa Kipawa,Mh. Bonna Kaluwa yafikia tamati leo

Meya wa Ilala, Jerry Silaa akifungua rasmi tamasha la kuchangia damu katika viwanja vya Stakishari, Majumbasita, Dar es Salaam leo. Kampeni hiyo ya siku 10 iliratibiwa na Diwani wa Kipawa Bonnah Kaluwa (CCM). Meya Silaa akipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Damu Salama kabla ya kuchangia damu ili kuwaokoa wagonjwa wakiwemo wakina mama wajawazito katika viwanja vya Sitakishari Majumbasita, Dar es Salaam. Meya Silaa na Diwani Bonnah wakiendelea kusikiliza maelezo kutoka kwa ...

 

11 years ago

GPL

KAWAMBWA CUP YAFIKA TAMATI

Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe (kulia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Mwambao, Selemani Lugono baada ya timu yake kuibuka washindi wa pili katika Ligi ya Kawambwa Cup iliyomalizika mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT, Iddi Kipingu. (PICHA NA SUPER D) ...

 

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Shindano la 'Genius-Cup' Wazawadiwa

Mwanafunzi Fuad Thabit kutoka Feza Boys Secondary aliyeibuka mshindi wa kwanza shule za sekondari katika Shindano la Genius-Cup akipokea cheti na zawadi yake ya shilingi 300,000 toka kwa  mgeni rasmi wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu  wa Utafiti taasisi ya COSTECH, Athman Mgumia.

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Makalla Cup yafika tamati wilayani Mvomero

Fainali za michezo mpira wa miguu kutafuta bingwa wa wilaya ya Mvomero zinazokwenda kwa jina la Makalla Cup zimehitimishwa jana kwa mamia ya watazamaji kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kialawa, Kijiji cha Bwagala ambapo ulizikutanisha katika Fainali Timu ya Koloni ya Bwagala na timu ya Mkuyuni ya Mlali na hatimaye ubingwa wa Makalla Cup ulikwenda kwa Timu ya Koloni kwa kuifunga Mkuyuni mabao 2-1.
Mgeni rasmi na mdhamini wa Mashindano hayo ya Makalla Cup alikuwa Mbunge wa Mvomero na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani